Jan 05, 2023 05:31
Ubepari wa Magharibi na demokrasia ya kiliberali, ambayo baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti mnamo 1991, kulingana na wanafikra wengine wa Magharibi kama vile Francis Fukuyama, iliushinda mfumo wa kikomunisti kama mfumo bora wa kisiasa na kiuchumi, na kutambuliwa kama mwisho wa historia, sasa unakabiliwa na matatizo makubwa na ya kimsingi.