-
Yemen yashambulia meli ya mafuta ya US na nyengine inayohusiana na Israel katika Bahari ya Sham
Oct 11, 2024 07:41Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimefanya operesheni mbili za mashambulio dhidi ya meli ya mafuta ya Marekani na meli ya mafuta yenye uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Bahari ya Hindi na Bahari ya Sham.
-
Jeshi la Wanamaji la Iran lakamata meli ya mafuta ya Marekani kwa amri ya mahakama
Jan 11, 2024 15:36Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuikamata meli ya mafuta ya Marekani kwa amri ya mahakama katika Bahari ya Oman.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran asema wizi wa mafuta uliofanywa na serikali ya Marekani haukubaliki
Sep 16, 2023 08:09Waziri wa Ulinzi wa Iran amezungumzia hatua ya serikali ya Marekani ya kutwaa meli ya mafuta ya Iran na kupora bidha iliyokuwemo akisema: Hatua ya serikali ya Marekani ni wizi ambao haukubaliwi kwa namna yoyote ile duniani.
-
Karibuni hivi Ugiriki itarejesha shehena ya mafuta ya Iran iliyoiba
Jul 27, 2022 03:02Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ugiriki umetangaza kuwa operesheni ya kuyahamisha na kuyarejesha mafuta ya Iran yaliyoibwa itaanza hivi karibuni.
-
Iran yajibu matamshi ya Ufaransa, Ujerumani kuhusu meli za mafuta za Ugiriki
Jun 01, 2022 09:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki.
-
Iran yaiachilia huru meli iliyokuwa imebeba mafuta ya kuibwa
Nov 11, 2021 05:00Meli ya mafuta iliyokuwa inashikiliwa Iran kutokana na kuhusika katika wizi wa mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, imeachiliwa kufuatia hukumu ya mahakama na baada ya mafuta hayo kurejeshwa.
-
Abbas Mousavi: Mazungumzo ya JCPOA kati ya Iran na Ulaya hayajafikia natija
Aug 19, 2019 08:14Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mwenendo wa mazungumzo ya Iran na madola ya Ulaya kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa, mazungumzo kuhusiana na uwajibikaji wa Ulaya katika JCPOA hadi sasa hayajawa na natija.
-
Misimamo isiyo ya busara ya Uingereza na Marekani kuhusu kuachiliwa meli ya mafuta ya Iran
Aug 17, 2019 03:41Hatua ya Uingereza kusimamisha kinyume cha sheria meli ya mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilikuwa imeibua mvutano wa kisiasa kati ya London na Tehran huku Marekani nayo kupitia siasa zake za 'mashinikizo ya juu zaidi' dhidi ya Iran, ikijaribu kushinikiza meli hiyo iendelee kushikiliwa huko Jabal Tariq (Gibraltar).
-
Mousavi: Iran haijatoa ahadi yoyote kuhusiana na kuachiwa meli ya mafuta ya "Grace 1"
Aug 16, 2019 14:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haijatoa ahadi yoyote kwa ajili ya kuachiwa meli ya mafuta ya "Grace 1" iliyokuwa ikishikilIwa na Waingereza katika eneo la Gibraltar.
-
Kuachiliwa meli ya mafuta ya Iran; kushindwa Uingereza na kufedheheka Marekani
Aug 16, 2019 10:05Kufuatia diplomasia hai na athirifu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uamuzi wa Mahakama ya Juu ya eneo la Jabal Tariq (Gibraltar), hatimaye meli ya mafuta ya Iran inayojulikana kama Grace 1 imechiliwa na kuruhusiwa kuendelea na safari zake katika maji ya kimataifa.