Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mgogoro wa Syria

  • Rais Rouhani awasilisha pendekezo la kutatua mgogoro wa Syria

    Rais Rouhani awasilisha pendekezo la kutatua mgogoro wa Syria

    Nov 22, 2017 16:34

    Rais Hassan Rouhani anayeshiriki kikao cha marais wa Russia, Uturuki na Iran katika mji wa Suchi amewasilisha pendekezo lenye vifungu vikuu vitatu kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Syria.

  • Marekani yakiri magaidi wanatumia silaha za kemikali Syria

    Marekani yakiri magaidi wanatumia silaha za kemikali Syria

    Oct 21, 2017 02:28

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwa mara ya kwanza imekiri kwamba, magaidi wanatumia silaha za kemikali huko Syria.

  • Sheikh Naeem Qassim: Kuwepo matakfiri katika Mashariki ya Kati ni mpango wa Kizayuni

    Sheikh Naeem Qassim: Kuwepo matakfiri katika Mashariki ya Kati ni mpango wa Kizayuni

    Sep 28, 2017 07:57

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwepo matakfiri katika eneo la Mashariki ya Kati ni mpango wa kisiasa unaokamilisha mpango wa Wazayuni.

  • Ujerumani: Tulitamani kumpindua Bashar al Assad lakini tumeshindwa vibaya

    Ujerumani: Tulitamani kumpindua Bashar al Assad lakini tumeshindwa vibaya

    Sep 26, 2017 08:15

    Balozi wa Ujerumani mjini Washington, Marekani sambamba na kukiri kwamba nchi za Magharibi zinawasaidia magaidi kufanya jinai nchini Syria, amesema kwamba, tulikuwa na hamu kubwa ya kuipindua serikali ya Bashar al Assad lakini tumeshindhwa vibaya sana.

  • Rais al-Assad: Mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria

    Rais al-Assad: Mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria

    Sep 24, 2017 03:32

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, akthari ya mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria, lakini tawala za Warabu zinawaunga mkono magaidi wanaopigana dhidi ya serikali ya Damascus.

  • Kikao cha Waziri wa Ulinzi wa Russia na Rais Bashar al-Assad wa Syria

    Kikao cha Waziri wa Ulinzi wa Russia na Rais Bashar al-Assad wa Syria

    Sep 14, 2017 03:53

    Jumanne iliyopita Sergey Shoygu, Waziri wa Ulinzi wa Russia alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad wa Syria.

  • Jeshi la Syria lavunja mzingiro wa miaka 3 wa Dayr al-Zawr

    Jeshi la Syria lavunja mzingiro wa miaka 3 wa Dayr al-Zawr

    Sep 04, 2017 07:48

    Kundi la kwanza la jeshi la Syria na wapiganaji wa Hizbullah limeingia katika mji wa Dayr al-Zawr uliokuwa ukizingirwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh kwa kipindi cha miaka 3.

  • Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya udharura wa kuzuia kupelekwa magaidi nchini Syria

    Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya udharura wa kuzuia kupelekwa magaidi nchini Syria

    Jul 15, 2017 12:32

    Stephen de Mistura Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari kuwa upelekeaji wa magaidi huko Syria unapasa kukomeshwa.

  • Al-Assad: Wasyria wamewashinda magaidi kwa umoja na mshikamano

    Al-Assad: Wasyria wamewashinda magaidi kwa umoja na mshikamano

    Jul 05, 2017 04:06

    Rais Bashara al-Assad wa Syria amesema kuwa, Wasyria wameweza kuyashinda makundi ya kigaidi yanayowakufurisha Waislamu kwa umoja na mshikamano wao.

  • Kwa mara nyingine ndege za Marekani zaua raia 42 Deir ez-Zor, Syria

    Kwa mara nyingine ndege za Marekani zaua raia 42 Deir ez-Zor, Syria

    Jun 27, 2017 15:17

    Kwa mara nyingine tena ndege za muungano vamizi unaodai kupambana na kundi la Daesh chini ya uongozi wa Marekani, zimefanya jinai nyingine kubwa ya kuua raia 42 katika mkoa wa Deir ez-Zor nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS