-
Jeshi la Syria laangamiza maficho ya magaidi wa Jabhat al Nusra mkoani Hama
Mar 19, 2019 15:03Wanajeshi wa Syria wameshambulia na kuangamiza maficho ya magaidi wa Jabhat al Nusra katika viunga vya mkoa wa Hama wa magharibi mwa nchi hiyo.
-
Madai ya Muungano wa Kimarekani ya eti kupambana na ugaidi, urongo mkubwa wa karne
Mar 19, 2019 03:06Serikali ya Syria imeutuhumu muungano eti wa kimataifa wa kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani kuwa umefanya jinai za kivita.
-
Raia 10 wa Syria wauawa katika mashambulizi ya ndege za muungano vamizi
Mar 17, 2019 16:55Duru za habari za Syria zimetangaza kuwa raia kumi wa nchi hiyo wamuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za muungano vamizi unaoongozwa na Marekani huko mashariki mwa Syria.
-
Rais Bashar al-Assad: Vikwazo vya kiuchumi vya Marekani ni njia mpya ya vita dhidi ya Syria
Mar 11, 2019 08:16Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, vita dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu vimechukua mkondo mpya ambapo sasa vimeelekezwa katika mzingiro na vita vya kiuchumi.
-
Bouthaina Shaaban: Chanzo cha ugaidi katika eneo ni utawala wa Kizayuni
Mar 10, 2019 14:12Mshauri wa Masuala ya Kisiasa na Habari wa Rais wa Syria amesema kuwa chanzo cha ugaidi huko Syria, Yemen, Iraq na Libya ni utawala wa Kizayuni.
-
Silaha za Marekani na magaidi wa Israel zapatikana Syria
Feb 19, 2019 08:00Askari usalama wa Syria wamenasa idadi kubwa ya silaha za Marekani na Israel zinazomilikiwa na magaidi huko Rif-Dimashq.
-
Arab League: Uingiliaji wa kigeni sababu kuu ya kuendelea mgogoro nchini Syria
Jan 29, 2019 07:27Mahmoud Afifi, Msemaji wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesema katika mazungumzo yake na Geir Pedersen, mjumbe mpya wa Umoja wa Mataifa katika kadhia ya Syria kwamba uingiliaji wa kigeni ndiyo sababu ya kuendelea mgogoro nchini humo.
-
Israel yakiri kuwapa msaada wa silaha wapinzani wa serikali ya Syria
Jan 16, 2019 04:28Mkuu wa Majeshi ya Utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo umekuwa ikiwapa silaha wapinzani wa serikali ya Syria.
-
Magaidi watwangana wenyewe kwa wenyewe Syria, mamia wauawa
Jan 05, 2019 07:46Mamia ya magaidi wameangamizwa baada ya kuibuka mzozo miongoni mwa makamanda wa magenge hasimu ya kigaidi nchini Syria.
-
Vyombo vya habari vya Kizayuni: Msimu wa Machipuo wa Syria umewadia
Dec 31, 2018 06:53Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimekiri kuwa Syria na rais wa nchi hiyo Bashar al-Assad wameibuka washindi dhidi ya njama za nchi za Kiarabu na za Magharibi na kutangaza kuwa msimu wa machipuo wa Syria umewadia.