Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mgogoro wa Syria

  • Rais al-Assad wa Syria na mkewe wazitembelea familia za mashahidi wa vita

    Rais al-Assad wa Syria na mkewe wazitembelea familia za mashahidi wa vita

    Jul 22, 2018 03:26

    Rais Bashar al-Assad wa Syria pamoja na mke wake wametembelea familia za mashahidi na majeruhi wa vita wanaoishi katika kambi ya Abenau Nasr, katika kijiji cha al-Zainat cha mji wa Masyaf, magharibi mwa nchi hiyo.

  • Assad: Syria yaanzisha mkakati wa ujenzi mpya baada ya magaidi kutimuliwa

    Assad: Syria yaanzisha mkakati wa ujenzi mpya baada ya magaidi kutimuliwa

    Jul 10, 2018 13:47

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kipaumbele chake ni ujenzi mpya wa nchi hiyo baada ya kutimuliwa magaidi walioanzisah vita nchini humo mwaka 2011 kwa uungaji mkono wa kigeni.

  • Jeshi la Syria lakomboa vijiji zaidi vilivyokuwa vimetekwa na magaidi wa ISIS mkoani Daraa

    Jeshi la Syria lakomboa vijiji zaidi vilivyokuwa vimetekwa na magaidi wa ISIS mkoani Daraa

    Jul 07, 2018 03:20

    Jeshi la Syria limewatimua magaidi na kukomboa kikamilifu vijiji kadhaa katika mkoa wa kusini magharibi wa Daraa karibu na mpaka wa Jordan kwa lengo la kufungua kituo cha kistratijia cha Nasib.

  • Lavrov: Matatizo ya Mashariki ya Kati yatatatuliwa kwa kuishirikisha Iran

    Lavrov: Matatizo ya Mashariki ya Kati yatatatuliwa kwa kuishirikisha Iran

    Jul 05, 2018 02:39

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesisitiza kuwa, kuitaka Iran ipunguze ushawishi wake nchini Syria na Mashariki ya Kati ni kutazama mambo bila ya kuzingatia uhalisia wake.

  • Hizbullah: Shambulizi lolote la Israel dhidi ya Lebanon litajibiwa kwa kuteketeza eneo la Golan

    Hizbullah: Shambulizi lolote la Israel dhidi ya Lebanon litajibiwa kwa kuteketeza eneo la Golan

    Jul 03, 2018 07:35

    Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon sambamba na kuashiria onyo kali lililotolewa na Ufaransa kwa utawala haramu wa Kizayuni, imesema kuwa chokochoko yoyote ya Israel itakayofanywa dhidi ya Lebanon, itapelekea kuteketezwa eneo la milima ya Golan inayodhibitiwa na Israel kwa sasa.

  • Syria: Riyadh ingali inawazuia raia wetu kwenda kufanya Hija

    Syria: Riyadh ingali inawazuia raia wetu kwenda kufanya Hija

    Jun 23, 2018 07:25

    Serikali ya Syria imeukosoa vikali utawala wa Aal-Saud kwa kuingiza siasa katika amali tukufu ya Hija, ambapo Riyadh imewazuia raia wa Syria kwenda kutekeleza ibada hiyo kwa mwaka wa saba mfululizo.

  • Rais Assad: Wanajeshi wa Marekani lazima tutawatimua Syria

    Rais Assad: Wanajeshi wa Marekani lazima tutawatimua Syria

    May 31, 2018 14:45

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa, Wamarekani lazima watoke Syria na wanapaswa kupata funzo kutokana na yaliyowafika nchini Iraq

  • Syria: Kunaandaliwa mazingira ya kubuni igizo la shambulio la kemikali mashariki mwa Furat

    Syria: Kunaandaliwa mazingira ya kubuni igizo la shambulio la kemikali mashariki mwa Furat

    May 31, 2018 03:42

    Kamisheni ya taifa nchini Syria inayoshughulikia utekelezwaji wa makubaliano ya kuzuia silaha za kemikali, imeonya juu ya kuandaliwa igizo la kubuni la shambulio la silaha hizo katika moja ya maeneo yanayodhibitiwa na wanamgambo wa Kikurdi wa 'Syrian Democratic Forces' kwa kushirikiana na askari wa Marekani, mashariki mwa mto Furat nchini humo.

  • Magaidi wa genge la Daesh na Jaishul-Hur washambuliana vikali kusini mwa Syria

    Magaidi wa genge la Daesh na Jaishul-Hur washambuliana vikali kusini mwa Syria

    May 15, 2018 02:41

    Magaidi wa makundi ya ukufurishaji ya Daesh (ISIS) na kundi la Jeishul-Hur (Jeshi huru), wameshambuliana vikali magharibi mwa mkoa wa Daraa, nchini Syria na kusababisha maafa makubwa kati yao.

  • Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen lateua wajumbe wake wapya

    Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen lateua wajumbe wake wapya

    Apr 30, 2018 14:12

    Mahdi al Mashat amewateuwa wajumbe 32 wapya wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen katika hatua yake ya kwanza kama mkuu mpya wa baraza hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS