Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mgogoro wa Syria

  • Iran, Russia, Uturuki zatoa tamko la pamoja kuhusu Syria

    Iran, Russia, Uturuki zatoa tamko la pamoja kuhusu Syria

    Apr 28, 2018 16:16

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Russia na Uturuki wametoa tamko la pamoja mwishoni mwa kikao chao cha mjini Moscow, Russia na kutilia mkazo wajibu wa kulindwa ardhi nzima ya Syria na haki ya kujitawala na kujiamulia lenyewe mambo yake taifa hilo la Kiarabu.

  • Guterres akiri kuwa UN haina uwezo wa kuutatua mgogoro wa Syria

    Guterres akiri kuwa UN haina uwezo wa kuutatua mgogoro wa Syria

    Apr 23, 2018 16:47

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekiri kuwa umoja huo hauna uwezo wa kuutatua mgogoro wa Syria.

  • Baada ya kufurushwa magaidi, wakimbizi 59 elfu warejea makwao Ghouta Mashariki nchini Syria

    Baada ya kufurushwa magaidi, wakimbizi 59 elfu warejea makwao Ghouta Mashariki nchini Syria

    Apr 16, 2018 08:03

    Kituo cha Russia cha kusimamia mapatano nchini Syria kimesema kuwa, zaidi ya watu 59 elfu wamerejea katika maeneo yao huko Ghouta Mashariki baada ya kutimuliwa magaidi katika eneo hilo.

  • Mgongamno katika madai ya Marekani ya kutoka nchini Syria

    Mgongamno katika madai ya Marekani ya kutoka nchini Syria

    Apr 16, 2018 08:01

    Marekani imeendelea kutoa matamshi yanayogongana baada ya Ikulu ya nchi hiyo (White House) kudai kuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump amekusudia kuwaondoa haraka wanajeshi wa nchi hiyo walioko Syria.

  • Nikki Haley: Jeshi la Marekani haliondoki Syria

    Nikki Haley: Jeshi la Marekani haliondoki Syria

    Apr 16, 2018 04:33

    Mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa nchi hiyo haitaondoa wanajeshi wake huko Syria hadi itakapofikia malengo yake.

  • Mufti wa Syria: Marekani na washirika wake hawana hata chembe ya ubinadamu

    Mufti wa Syria: Marekani na washirika wake hawana hata chembe ya ubinadamu

    Apr 15, 2018 07:22

    Mufti Mkuu wa Syria amesema kuwa, madola ambayo yamewashambulia kwa mabomu wananchi wa Syria hayana chembe ya ubinadamu.

  • Viongozi mbalimbali waendelea kupinga mashambulizi dhidi ya Syria

    Viongozi mbalimbali waendelea kupinga mashambulizi dhidi ya Syria

    Apr 14, 2018 17:25

    Mashambulizi yaliyofanywa na Marekani, Ufaransa na Uingereza huko Syria yamekabiliwa na upinzani mkubwa barani Ulaya na huko Marekani.

  • Mogherini: Mgogoro wa Syria hauna ufumbuzi wa kijeshi

    Mogherini: Mgogoro wa Syria hauna ufumbuzi wa kijeshi

    Apr 14, 2018 17:15

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa mgogoro wa Syria unaweza tu kupatiwa ufumbuzi kwa njia za kisiasa.

  • Uingereza yakataa kushirikiana na Marekani katika mashambulizi dhidi ya Syria

    Uingereza yakataa kushirikiana na Marekani katika mashambulizi dhidi ya Syria

    Apr 11, 2018 13:47

    Gazeti moja la Uingereza limefichua kwamba, Waziri Mkuu wa nchi hiyo amekataa ombi la Rais wa Marekani la kushiriki katika mashambulizi dhidi ya Syria.

  • Jeshi la Syria lapata mabomu ya Israel katika mapango ya magaidi Ghouta

    Jeshi la Syria lapata mabomu ya Israel katika mapango ya magaidi Ghouta

    Mar 29, 2018 06:18

    Wanajeshi wa Syria wamepata idadi kubwa ya silaha za utawala haramu wa Israel zilizoachwa na magaidi wakufurishaji waliokuwa wakitoroka kutoka katika eneo la Ghouta Mashariki nje kidogo ya mji mkuu, Damascus.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS