Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mgogoro wa Syria

  • Vikosi vya Syria vyadhibiti asilimia 90 ya eneo la Ghouta Mashariki

    Vikosi vya Syria vyadhibiti asilimia 90 ya eneo la Ghouta Mashariki

    Mar 24, 2018 07:19

    Wanajeshi wa Syria wanadhibiti zaidi ya asilimi 90 ya eneo la Ghouta Mashariki lililo karibu na mji mkuu Damascus.

  • Syria: Madai ya Marekani dhidi yetu yanalenga kuwapa himaya magaidi

    Syria: Madai ya Marekani dhidi yetu yanalenga kuwapa himaya magaidi

    Mar 10, 2018 07:48

    Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema tuhuma zilizotolewa na Marekani na waitifaki wake dhidi ya Damascus hazina madhumuni mengine ghairi ya kuyakingia kifua na kuyapa himaya makundi ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Marekani inajiandaa kuishambulia Syria kwa makombora

    Marekani inajiandaa kuishambulia Syria kwa makombora

    Feb 12, 2018 04:41

    Chombo kimoja cha habari nchini Marekani kimeripoti kuwa Washington inajiandaa kuishambulia Syria kwa makombora.

  • Russia: Mashambulio ya Marekani Syria ni jinai za kivita

    Russia: Mashambulio ya Marekani Syria ni jinai za kivita

    Feb 09, 2018 07:01

    Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa ameyataja mashambulio ya anga ya Marekani katika mkoa wa Deir al Zor mashariki mwa Syria kuwa hayakubaliki na kwamba ni jinai za kivita.

  • Juhudi za Marekani za kuvuruga usalama wa Syria

    Juhudi za Marekani za kuvuruga usalama wa Syria

    Feb 06, 2018 08:00

    Mwandishi na mtaalamu mmoja wa masuala ya kisasa wa nchini Marekani amesema kuwa nchi hiyo inafanya juhudi kubwa za kuuhadaa ulimwengu kuhusiana na suala la Syria.

  • Lavrov: Mazungumzo ya kitaifa njia pekee ya utatuzi wa mgogoro wa kitaifa Syria

    Lavrov: Mazungumzo ya kitaifa njia pekee ya utatuzi wa mgogoro wa kitaifa Syria

    Dec 28, 2017 02:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, mazungumzo ya kitaifa kati ya serikali na wapinzani nchini Syria ndiyo njia pekee ya kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo.

  • Putini afichua ushirikiano wa Marekani na magaidi huko Syria

    Putini afichua ushirikiano wa Marekani na magaidi huko Syria

    Dec 16, 2017 03:45

    Rais wa Russia amefichua kuwa wanajeshi wa Marekani walioko nchini Syria walikuwa wakiwaunga mkono na kuwapatia silaha magaidi na ndio waliokuwa wakikwamisha kusambaratishwa magaidi hao.

  • Ripoti: Marekani na Saudi Arabia zimewapa magaidi wa ISIS silaha

    Ripoti: Marekani na Saudi Arabia zimewapa magaidi wa ISIS silaha

    Dec 15, 2017 06:42

    Shirika moja la kimataifa limezilaumu tawala za Marekani na Saudi Arabia kuwa zimekuwa zikiwafikishia magaidi wa ISIS silaha kwa siri kupitia makundi ya wapinzania nchini Syria.

  • Marekani iko tayari Bashar Assad aendelee kubakia madarakani hadi mwaka 2021

    Marekani iko tayari Bashar Assad aendelee kubakia madarakani hadi mwaka 2021

    Dec 13, 2017 03:51

    Ripoti za baadhi ya duru za habari nchini Marekani zinaeleza kuwa baada ya kukata tamaa ya kumwondoa madarakani Rais Bashar Al Assad wa Syria, serikali ya Washington imechukua uamuzi mpya wa kuafiki Assad aendelee kuwa rais wa Syria hadi mwaka 2021.

  • Duru ya nane isiyo na natija ya mazungumzo ya Geneva kuhusu Syria

    Duru ya nane isiyo na natija ya mazungumzo ya Geneva kuhusu Syria

    Nov 30, 2017 08:15

    Stéphane Dujarric, Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne alitangaza habari ya kuanza duru ya nane ya mazungumzo ya Geneva Uswisi yenye lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS