-
Vita dhidi ya Uislamu katika michezo ya Olimpiki, Korea Kusini!
Feb 10, 2018 16:35Vita na hujuma dhidi ya Uislamu inaonekana sasa kushamiri zaidi na kuingia katika michezo ya kimataifa.
-
Mnyanyua vyuma Muirani avunja rekodi mara tatu, apata dhahabu Paralympiki Rio
Sep 15, 2016 03:32Muirani mnyanyua vyuma katika uzani wa juu zaidi amevunja rekodi tatu za dunia na kupata medali ya dhahabu katika Michezo ya Olyimpiki ya walemavu- Paralympiki-huko Rio de Janeiro, Brazil.
-
Matatizo yanayotokana na kutojishughulisha na michezo yameyagharimu mataifa mabilioni ya dola
Jul 29, 2016 04:36Watafiti wa masuala ya afya na tiba wamesema matatizo ya afya yaliyosababishwa na watu kutojishughulisha na harakati za michezo katika mwaka 2013 yameyagharimu mataifa dola zipatazo bilioni 67.5.
-
Ureno yaibamiza Ufaransa na kutwaa Kombe la Yuro 2016
Jul 11, 2016 03:42Timu ya taifa ya Ureno imefuta uteja wa takriban miongo 4 dhidi ya Ufaransa kwa kuisasambua bao 1-0 katika mchuano wa fainali ya Kombe la Yuro mwaka huu 2016 mjini Paris.
-
FIFA yamteua mwanamke wa Kiislamu kuwa Katibu Mkuu
May 14, 2016 06:00Kwa mara ya kwanza katika historia ya kandanda duniani, Shirikisho la Soka Duniani FIFA limemteua mwanamke wa Kiafrika na Muislamu kuwa Katibu Mkuu wa taasisi hiyo ya kimataifa ya kusimamia mpira wa miguu.