-
Maelfu ya watu wanahitaji kuokolewa Msumbiji baada ya kimbunga cha Idai
Mar 22, 2019 03:47Habari kutoka nchini Msumbiji zinasema kuwa, watu zaidi ya 15,000 wanahitaji kuokolewa haraka na kupewa hifadhi kufuatia kimbunga cha Idai kilichotokea hivi karibuni nchini humo na kusababisha vifo vya mamia ya watu.
-
Utumiaji wa mihadarati Misri watia fora, hata watoto wa miaka 9 wanavuta
Mar 12, 2019 12:46Afisa mmoja wa serikali ya Misri amesema kuwa, kiwango cha utumiaji wa dawa za kulevya na mihadarati kimeongezeka na kufikia asilimia 10.4 nchini humo na kwamba umri wa watumiaji wa dawa hizo pia umepungua kiasi kwamba hata watoto wa miaka 9 wanatumia madawa hayo.
-
Magaidi 46 wanaofungamana na Kundi la Daesh waangamizwa Sinai, Misri
Mar 11, 2019 13:17Jeshi la Misri limeangamiza magaidi 46 wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh katika operesheni ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo katikati ya mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
El Baradei akosoa ukandamizaji dhidi ya wafungwa wa kisiasa Misri
Mar 03, 2019 23:10Makamu wa zamani wa rais wa Misri amekosoa ukandamizaji unaofanywa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya wafungwa wa kisiasa ikiwa ni pamoja na kuzuia familia za wafungwa hao kuwatembelea korokoroni kwa kipindi kirefu.
-
Mamia ya waandamanaji watiwa nguvuni Misri, wanamtaka al Sisi ang'atuke
Mar 02, 2019 04:18Askari usalama wa Misri wamewatia nguvuni mamia ya vijana waliofanya maandamano katika maneo mbalimbali ya nchi hiyo wakipinga utawala wa Rais Abdel Fattah al Sisi wa nchi hiyo.
-
Afisa wa Misri: Utawala wa Israel unalenga kuigawa Afrika vipande vipande
Feb 26, 2019 11:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema utawala wa Kizayuni wa Israel hivi sasa unafuatilia njama ya kuzigawa vipande vipande nchi za Afrika.
-
Watetezi wa haki za binadamu waandamana kupinga hukumu za vifo Misri
Feb 22, 2019 13:42Watetezi wa haki za binadamu wamefanya maandamano katika nchi kadhaa duniani kupinga utekelezaji wa hukumu ya kifo dhidi ya wapinzani wa serikali ya Misri.
-
Magaidi 16 wauawa Sinai Kaskazini nchini Misri
Feb 19, 2019 12:12Jeshi la Misri limewauwa magaidi 16 katika oparesheni ya ulipizaji kisasi iliyoifanya katika mji wa Arisha katika eneo la Sinai Kaskazini.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Misri
Feb 19, 2019 00:55Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi iliyolenga wanajeshi wa Misri katika eneo la Sinai.
-
Kadhaa wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Misri na magaidi, Sinai
Feb 16, 2019 09:10Mapigano kati ya askari usalama wa Misri na watu waliokuwa na silaha katika mkoa wa Sinai Kaskazini yamesababisha askari kadhaa na wanagambao kuuawa.