-
Maafisa wa Iran na Misri wajadili masuala ya pande mbili
Dec 27, 2018 11:13Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa, Hossein Amir-Abdollahian amekutana hapa mjini Tehran na kufanya mazungumzo na afisa mkuu anayeshughulikia maslahi ya Misri hapa nchini, Yasser Othman ambapo wamesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili.
-
Misri yamteua mkuu mpya wa intelijinsia wa jeshi
Dec 23, 2018 11:44Misri imemteua Meja Jenerali Khalid Megawer kuwa Mkuu Mpya wa Intelijinsia wa Jeshi la nchi hiyo. Nafasi hiyo awali ilikuwa ikishikiliwa na Mohamed al Shahat.
-
Wanajeshi wanne wa Misri wauawa mapiganoni katika mkoa wa Sinai
Dec 17, 2018 04:47Wanajeshi wanne wa Misri wameuawa katika mapigano kati ya jeshi la serikali na makundi ya waasi katika mkoa wa Sinai ya kaskazini nchini humo.
-
Serikali ya Misri yaogopa kivuli chake, yapiga marufuku uuzaji wa 'vizibao vya njano'
Dec 11, 2018 03:51Serikali ya Misri imepiga marufuku uuzaji wa vizibao vya njano, ikihofia kuwa huenda wapinzani wakavitumia katika maandamano kama yale yanayoshuhudiwa nchini Ufaransa kwa zaidi ya wiki nne sasa.
-
Mazoezi ya kijeshi ya nchi nne za Afrika yaanza nchini Misri
Dec 10, 2018 12:36Majeshi ya nchi nne za Misri, Nigeria, Sudan na Burkina Faso yameanza kufanya luteka na mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika kambi moja ya kijeshi ya magharibi mwa Misri.
-
Misri nayo yataka marekebisho ya katiba ya kuondoa kikomo cha muhula wa rais
Dec 07, 2018 20:55Mahakama moja nchini Misri imetangaza Disemba 23 kama siku ya kusikiliza ombi la kutaka kufanyiwa marekebisho katiba ya nchi, yatakayomruhusu Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo agombee zaidi ya mihula miwili iliyoruhusiwa na katiba.
-
Umuhimu wa mkutano wa Ofisi za Kieneo za Kuususia Utawala wa Kizayuni
Dec 06, 2018 02:39Mkutano wa 92 wa Ofisi za Kieneo za Kuususia Utawala wa Kizayuni umefanyika katika makao makuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu mjini Cairo Misri na kushirikishwa wawakilishi kutoka nchi za Kiarabu na wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC.
-
Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin ya Misri ahukumiwa kifungo kingine cha maisha jela
Dec 05, 2018 23:16Katika mwendelezo wa utoaji hukumu za adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa kiongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin, mahakama ya Misri imemhukumu Muhammad Badie na washtakiwa wengine watano hukumu ya kifungo cha maisha jela katika kesi nyingine iliyokuwa ikiwakabili.
-
Misri na Saudia zasema mzingiro dhidi ya Qatar utaendelea
Nov 28, 2018 04:11Saudi Arabia na Misri zimesema mzingiro na vikwazo zilivyoiwekea Qatar kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa vitaendelea kwa muda usiojulikana, licha ya Doha kuwasilisha lalama zake mbele ya mahakama za kimataifa na taasisi za Umoja wa Mataifa ili kushinikiza kuhitimishwa mzingiro huo.
-
Sudan na Misri zaafiki doria ya pamoja mpakani kukabiliana na ugaidi
Nov 26, 2018 04:47Sudan na Misri zimekubaliana kulinda doria ya pamoja katika mpaka kati yao na kuzindua kikosi cha pamoja katika siku za baadaye ili kupambana na ugaidi.