Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Mahakama Misri yaidhinisha Saudia kupewa visiwa vya nchi hiyo

    Mahakama Misri yaidhinisha Saudia kupewa visiwa vya nchi hiyo

    Mar 04, 2018 04:25

    Mahakama ya Juu nchini Misri imefutilia mbali maamuzi yaliyotolewa na mahakama za chini za nchi hiyo kuhusu mpango wa kukabidhi visiwa viwili vya kistratajia vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kwa Saudi Arabia.

  • Magaidi 13 wengine waangamizwa Sinai Misri

    Magaidi 13 wengine waangamizwa Sinai Misri

    Mar 01, 2018 12:01

    Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuangamizwa magaidi 13 katika muendelezo wa operesheni za wanajeshi wa nchi hiyo katika Rasi ya Sinai.

  • Mwendesha mashtaka wa Misri ataka kufuatiliwa vyombo vya habari nchini humo

    Mwendesha mashtaka wa Misri ataka kufuatiliwa vyombo vya habari nchini humo

    Feb 28, 2018 13:01

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Misri ametaka kufuatiliwa kwa kina na kwa karibu shughuli za vyombo vya habari na kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya chombo chochote cha habari ambacho kinavuruga usalama na kuhatarisha maslahi ya taifa.

  • HRW yaikosoa serikali ya Misri kwa ukandamizaji

    HRW yaikosoa serikali ya Misri kwa ukandamizaji

    Feb 26, 2018 23:21

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeikosoa serikali ya Misri kwa hatua yake ya kuwatia mbaroni kiholela wanasiasa wa upinzani nchini humo.

  • Misri yazidi kukandamiza wapinzani, mali za mkuu wa chama cha Misri Imara zazuiwa

    Misri yazidi kukandamiza wapinzani, mali za mkuu wa chama cha Misri Imara zazuiwa

    Feb 26, 2018 03:59

    Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa serikali ya Misri imetoa amri ya kuzuiliwa mali zote za mkuu wa chama cha Misri Imara ambaye alitiwa mbaroni hivi karibuni baada ya kumkosoa Rais Abdel Fattah el Sisi wa nchi hiyo.

  • Kampeni za uchaguzi wa rais Misri zaanza

    Kampeni za uchaguzi wa rais Misri zaanza

    Feb 25, 2018 03:58

    Kamepeni za uchaguzi wa Rais Misri zilianza Jumamosi huku Rais Abdel Fattah el-Sisi akitazamiwa kupata ushindi kwa urahisi baada ya wapinzani wake asili kukamatwa, kufungwa jela au kutishwa na hivyo kujiondoa katika mchuano huo.

  • Serikali ya Misri yamuweka mpinzani wa al Sisi katika orodha ya magaidi!

    Serikali ya Misri yamuweka mpinzani wa al Sisi katika orodha ya magaidi!

    Feb 20, 2018 23:42

    Serikali ya Misri imemuweka kiongozi wa chama cha upinzani cha "Misri Imara" na wanachama wengine 15 wa chama hicho katika orodha ya magaidi.

  • Ethiopia yaakhirisha mkutano wake na Misri kuhusu bwawa la al-Nahdha

    Ethiopia yaakhirisha mkutano wake na Misri kuhusu bwawa la al-Nahdha

    Feb 18, 2018 23:33

    Misri imekubali ombi la Ethiopia la kuakhirisha mkutano wa pande mbili wa kujadili suala tata la bwawa la al-Nahdha linalojengwa na Uhabeshi, baada ya Adiss Ababa kutangaza sheria ya hali ya hatari.

  • Jeshi la Misri laua magaidi 7 wakufurishaji na kukamata wengine 408

    Jeshi la Misri laua magaidi 7 wakufurishaji na kukamata wengine 408

    Feb 17, 2018 23:44

    Jeshi la Misri limetangaza kuwaaangamiza magaidi saba wakufurishaji katika oparesheni maalumu ya kijeshi inayoendelea katika eneo la Sinai nchini humo.

  • Misri yaonya kuhusu hatari ya magaidi wa Daesh kuvamia kaskazini mwa Afrika

    Misri yaonya kuhusu hatari ya magaidi wa Daesh kuvamia kaskazini mwa Afrika

    Feb 17, 2018 00:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ameonya kuwa magaidi wa Daesh (ISIS) waliosafishwa huko Syria na Iraq wanafanya kila wawezalo kuzivamia nchi za kaskazini mwa Afrika hususan Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS