Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Mahakama ya Misri yatengua uamuzi uliozuia kutolewa visiwa vya nchi hiyo kwa Saudia

    Mahakama ya Misri yatengua uamuzi uliozuia kutolewa visiwa vya nchi hiyo kwa Saudia

    Apr 03, 2017 00:08

    Mahakama moja ya Misri imetengua uamuzi uliotolewa miezi kadhaa iliyopita na mahakama nyingine ya nchi hiyo ikipinga kutolewa visiwa viwili vya nchi hiyo kwa utawala wa Saudi Arabia

  • Mufti wa Misri: Fatwa 3000 zimetolewa kupinga kuishi pamoja Waislamu na Wakristo

    Mufti wa Misri: Fatwa 3000 zimetolewa kupinga kuishi pamoja Waislamu na Wakristo

    Apr 01, 2017 11:55

    Mufti wa Misri amesema kuwa asilimia 90 ya hukumu na fatwa za watu wanaofurutu ada zinawachochea watu kwenda kinyume na maamrisho ya Mwenyezi Mungu na kuzusha mifarakano baina ya Waislamu na Wakristo.

  • Magaidi watano wauawa, 16 watiwa mbaroni kaskazini mwa Misri

    Magaidi watano wauawa, 16 watiwa mbaroni kaskazini mwa Misri

    Mar 26, 2017 09:11

    Jeshi la Misri leo limetoa taarifa na kusema kuwa, limefanikiwa kuua magaidi watano na kuwatia mbaroni wengine 16 katika operesheni maalumu iliyofanywa na jeshi hilo kaskazini mwa Misri.

  • Wanajeshi kadhaa wa Misri wauawa katika mripuko wa bomu Sinai

    Wanajeshi kadhaa wa Misri wauawa katika mripuko wa bomu Sinai

    Mar 26, 2017 02:47

    Wanajeshi wanne wa Misri wameuawa baada ya gari lao kulengwa kwa bomu katika Peninsula ya Sinai.

  • Askari 10 wa Misri wauawa katika hujuma ya bomu Sinai

    Askari 10 wa Misri wauawa katika hujuma ya bomu Sinai

    Mar 24, 2017 03:06

    Wanajeshi zaidi ya 10 wa Misri wameuawa baada ya gari walimokuwa kulengwa kwa shambulio la bomu katikati mwa Peninsula ya Sinai.

  • Magaidi watano waangamizwa kaskazini mwa Misri

    Magaidi watano waangamizwa kaskazini mwa Misri

    Mar 23, 2017 03:11

    Magaidi wasiopungua watano wameuliwa na wanajeshi wa Misri katika eneo la Jabal al Hilal, kusini mwa mji wa al Arish, katika mkoa wa Sinai Kaskazini.

  • Rais wa Misri akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Cairo katika anga ya hitilafu

    Rais wa Misri akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Cairo katika anga ya hitilafu

    Mar 21, 2017 04:04

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri huko mjini Cairo, huku kukiwepo na tofauti baina yao.

  • Al Nahdha: Tuko tayari kuipatanisha serikali ya Misri na Ikhwanul Muslimin

    Al Nahdha: Tuko tayari kuipatanisha serikali ya Misri na Ikhwanul Muslimin

    Mar 13, 2017 03:27

    Mkuu wa harakati ya al Nahdha ya Tunisia amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kulipatanisha kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri na serikali ya nchi hiyo.

  • Watu nusu milioni kuongezeka Cairo, Misri mwaka huu

    Watu nusu milioni kuongezeka Cairo, Misri mwaka huu

    Mar 12, 2017 14:59

    Idadi ya watu katika mji mkuu wa Misri, Cairo, itaongezkea kwa nusu milioni mwaka huu, hili likiwa ni ongezeko kubwa zaidi la idadi ya watu mjini duniani, jambo ambalo limezidisha mashinikizo katika uchumi wa Misri ambao ungali unajaribu kujikwamua kutoka katika mgogoro wa kisiasa wa miaka sita sasa.

  • Misri yasisitiza udharura wa kurejea Syria katika Arab League

    Misri yasisitiza udharura wa kurejea Syria katika Arab League

    Mar 11, 2017 12:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa, mgogoro wa Syria unakaribia kupata ufumbuzi wa kisiasa na kusisitiza kuwa upo udharura wa kurejea nchi hiyo katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS