-
Wamisri waandamana nchi nzima dhidi ya serikali kulalamikia kuwekwa mgao wa mikate
Mar 09, 2017 04:22Raia wa Misri wamefanya maandamano dhidi ya serikali katika mikoa tofauti ya nchi hiyo, kulalamikia hatua ya kuwekwa mgao katika upatikanaji wa mikate nchini humo.
-
Hakuna anayesalimika na mashambulizi ya magaidi nchini Misri
Mar 07, 2017 01:01Makumi ya familia za Wakristo zimelazimika kukimbia makazi yao katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini Misri kutokana na mashambulizi ya watu wenye silaha.
-
Al-Sisi: Misri inapongeza juhudi za jeshi la Syria katika kuwatokomeza magaidi
Mar 03, 2017 00:40Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amesema kuwa, sambamba na nchi yake kufungamana na misingi ya kutoingilia masuala ya ndani ya Syria, pia inaunga mkono juhudi za jeshi la nchi hiyo katika kuwatokomeza magaidi.
-
El Sisi atetea siasa zake za kupambana na magenge ya kigaidi
Mar 01, 2017 03:48Rais Abdul Fattah el Sisi wa Misri ametetea stratijia na mikakati ya serikali yake katika kupambana na magenge ya kigaidi kwenye mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Bunge la Misri lataka kuongezwa muda wa Rais
Feb 26, 2017 23:18Wawakilishi wa Bunge la Misri wamesema kuwa, wanataka kipindi cha uongozi wa Rais wa nchi hiyo kiongezwe.
-
kuongezeka ushirikiano baina ya Uingereza na Misri
Feb 26, 2017 23:14Ikiwa ni katika juhudi za Uingereza za kupanua mahusiano yake na nchi nyingine, Boris Johnson, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo amefanya safari nchini Misri kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa pande mbili.
-
Misri yataka mikono ya kigeni isiingilie masuala ya ndani ya Libya
Feb 24, 2017 04:41Serikali ya Misri imesema, kuna wajibu wa kufanyika juhudi za kutosha za kuwasaidia Walibya kutatua migogoro yao, lakini bila ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
UN yazishukuru nchi jirani na Libya
Feb 22, 2017 23:33Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amezishukuru nchi jirani na Libya kwa jitihada zao za kutafuta suluhisho la mgogoro wa ndani wa nchi hiyo.
-
Mwanachuoni kipofu wa Misri afia gerezani nchini Marekani
Feb 19, 2017 01:15Sheikh Omar Abdu Rahman, mwanachuoni mashuhuri asiye na uwezo wa kuona mzaliwa wa Misri amefariki dunia akiwa gerezani nchini Marekani.
-
UN yasisitiza udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina
Feb 16, 2017 12:25Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina.