Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Hosni Mubarak: Visiwa vya Tiran na Sanafir ni vya Misri

    Hosni Mubarak: Visiwa vya Tiran na Sanafir ni vya Misri

    Feb 13, 2017 23:47

    Dikteta aliyepinduliwa madarakani huko Misri amesisitiza kuwa visiwa vya Tiran na Sanafir ni milki ya nchi hiyo.

  • Jeshi la Tunisia laungana na jeshi la Syria kupambana na magaidi

    Jeshi la Tunisia laungana na jeshi la Syria kupambana na magaidi

    Feb 13, 2017 11:40

    Duru za kuaminika za Tunisia zimesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limetumwa nchini Syria kupambana bega kwa bega na serikali ya Syria dhidi ya magenge ya kigaidi katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Darul Iftaa ya Misri yakosoa chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani

    Darul Iftaa ya Misri yakosoa chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani

    Feb 13, 2017 00:51

    Idara Kuu inayohusika na Fatwa za Kiislamu ya Misri (Darul Iftaa) imekosoa vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani na kuchomwa moto vituo vya Kiislamu.

  • Misri iliwasiliana na Israel kabla ya kuikabidhi Saudia visiwa vya Tiran na Sanafir

    Misri iliwasiliana na Israel kabla ya kuikabidhi Saudia visiwa vya Tiran na Sanafir

    Feb 12, 2017 03:41

    Rekodi iliyovuja ya mazungumzo ya simu imefichua kuwa Misri iliwasiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kupata baraka na uungaji mkono wake kabla ya kusaini muafaka wa kuikabidhi Saudi Arabia visiwa vyake viwili vya Sanafir na Tiran.

  • Jeshi la Misri laangamiza magaidi 14 katikati mwa Sinai

    Jeshi la Misri laangamiza magaidi 14 katikati mwa Sinai

    Feb 06, 2017 11:33

    Jeshi la Misri limewaangamiza magaidi 14 katika mkoa wa Sinai na kuwatia mbaroni wengine kumi kufuatia operesheni kali ya jeshji la nchi hiyo katika maeneo hayo.

  • Misri yawaongezea muda wanajeshi wake katika muungano vamizi wa Saudia huko Yemen

    Misri yawaongezea muda wanajeshi wake katika muungano vamizi wa Saudia huko Yemen

    Feb 05, 2017 23:11

    Rais Abdel Fattah al Sisi wa Misri ameongeza muda wa ushiriki wa wanajeshi wa nchi hiyo katika vita huko Yemen vinavyoongozwa na utawala wa Saudi Arabia.

  • Waasi Sudan Kusini wadai Misri imewashambulia

    Waasi Sudan Kusini wadai Misri imewashambulia

    Feb 05, 2017 03:56

    Waasi Sudan Kusini wameituhumu Misri kuwa imetekeelza hujuma za angani katika ngome zao huku wakuu wa Cairo wakikanusha kufanya hivyo.

  • Waasi Sudan Kusini waituhumu Misri kuwa imeshambulia ngome zao

    Waasi Sudan Kusini waituhumu Misri kuwa imeshambulia ngome zao

    Feb 05, 2017 00:58

    Waasi wa Sudan Kusini wameituhumu Misri kuwa imeshambulia kwa mabomu maeneo na ngome zao na kutahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya kieneo.

  • Mkakati wa Misri wa kuasisi Umoja wa kaskazini mwa Afrika

    Mkakati wa Misri wa kuasisi Umoja wa kaskazini mwa Afrika

    Feb 05, 2017 00:57

    Misri imesema inataka kuanzisha Umoja wa Kaskazini mwa Afrika.

  • Misri yaanzisha mpango wa kuunda Jumuiya ya

    Misri yaanzisha mpango wa kuunda Jumuiya ya "Kaskazini mwa Afrika"

    Feb 03, 2017 04:10

    Misri imetaka ianzishwe "Jumuiya ya Kaskazini mwa Afrika".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS