-
Mahakama ya Misri yawahukumu adhabu ya kifo raia wawilli kwa tuhuma za ugaidi
Feb 02, 2017 10:35Mahakama ya jinai nchini Misri imewahukumu adhabu ya kifo raia wawili wa nchi hiyo kwa kushirikiana na genge la kigaidi la 'Al-Warraq' ambalo limekuwa likihusika na mauaji dhidi ya maafisa wa polisi wa nchi hiyo.
-
Daesh yadai imeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri, Sinai
Feb 01, 2017 04:08Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limedai kwamba limeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri kaskazini mwa eneo la Sinai.
-
Misri yalaani mpango mpya wa Israel wa kujenga vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi
Jan 25, 2017 11:43Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Misri imelaani hatua ya utawala haramu wa Israel ya kupasisha mpango mpya wa ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni katika mji wa Baytul Muqaddas.
-
Baraza la Mapinduzi la Misri lawataka wananchi wasiitii serikali
Jan 23, 2017 23:26Baraza la Mapinduzi la Misri limewataka wananchi wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wasiitii serikali sambamba na maadhimisho ya mapinduzi ya wananchi ya Januari 25, 2011 yaliyomngóa madarakani dikteta Hosni Mubarak.
-
Misri yarefusha muda wa uingiliaji wake kijeshi Yemen
Jan 23, 2017 03:31Ofisi ya rais wa Misri ilitangaza jana Jumapili kwamba Baraza la Ulinzi wa Kitaifa la nchi hiyo limerefusha muda wa askari jeshi wa nchi hiyo kuendelea kuhudumu katika muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen.
-
Matokeo ya wakuu wa Misri kueneza chuki dhidi ya Ikhwanul Muslimin
Jan 20, 2017 01:13Mahakama ya Misri imetangaza orodha mpya ya mamia ya watu ambao wametajwa kuwa wafuasi wa makundi ya kigaidi.
-
Abdel Fattah el-Sisi katika hatua za kuipiga msasa serikali ya Misri
Jan 18, 2017 23:18Hivi karibuni Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri alitangaza kuwa, hivi karibuni ataifanyia marekebisho serikali yake.
-
Maafisa 8 wa polisi wa Misri wauawa kwa kufyatuliwa risasi
Jan 17, 2017 03:44Kwa akali askari polisi wanane wa Misri wameuawa kwa kufyatuliwa risasi na kundi la watu waliokuwa wamejizatiti kwa silaha katika kituo cha upekuzi cha Naqb, mkoa wa New Valley usiku wa kuamkia leo.
-
Mahakama ya Misri yatengua agizo la Rais Al-Sisi la kuikabidhi Saudia visiwa vyake viwili
Jan 16, 2017 11:24Mahakama kuu ya Misri imetoa hukumu ya kuheshimiwa ardhi ya nchi hiyo kuhusiana na visiwa viwili vya Tiran na Sanafir na kadhalika kuchunguzwa upya nafasi ya maji ya nchi hiyo na Saudia.
-
Waasi wenye silaha wauawa na jeshi la Misri
Jan 14, 2017 10:35Watu kadhaa wenye silaha wameuawa na jeshi la Misri katika mkoa wa Sinai kaskazini mwa nchio hiyo.