-
Watu 9 wauawa katika mripuko wa kigaidi, kaskazini mashariki mwa Misri
Jan 09, 2017 12:51Mripuko wa bomu uliotokea kwenye eneo la al Arish katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini Misri, umeuawa na kujeruhi watu wasiopungua tisa.
-
Mufti Mkuu wa Misri achaguliwa tena na jopo la maulamaa
Jan 09, 2017 01:04Jopo la Maulamaa wa Misri kwa mara nyingine tena wamemchagua Shawki Abdulkareem Ibrahim Allam kuwa Mufti Mkuu wa nchi hiyo.
-
Wapinzani wa kupewa Saudia visiwa viwili vya Misri waja juu
Jan 07, 2017 23:43Wapinzani wa mpango wa serikali ya Misri wa kutaka kuipa Saudi Arabia visiwa viwili vya Tiran na Sanafir vya Bahari Nyekundu wamezidi kuonesha hasira zao na wameipa Cairo muda maalumu kuhakikisha imeachana na mpango wake huo.
-
Kiongozi wa Serikali ajiua kwa kusailiwa nchini Misri
Jan 02, 2017 23:01Duru za habari za Misri zimetangaza habari ya kujiua Katibu Mkuu Mstaafu wa Baraza la Serikali ya nchi hiyo baada ya kutiwa mbaroni na maafisa wa Serikali.
-
Harakati ya Aprili 6 yawataka Wamisri kupinga uamuzi wa al Sisi wa kugawa visiwa vya Tiran, Sanafir
Jan 02, 2017 02:51Harakati ya Aprili 6 nchini Misri imewataka wananchi wa nchi hiyo kusimama na kupinga uamuzi wa serikali ya Abdul Fattah al Sisi wa kuipa Saudi Arabia visiwa viwili vya nchi hiyo vya Tiran na Sanafir.
-
Wanajeshi 2 wa Misri wauawa katika shambulizi la bomu Sinai
Jan 01, 2017 04:00Kwa akali askari 2 wa Misri wameuawa katika shambulio la bomu katika Peninsula ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo ya Afrika.
-
Serikali ya Misri yapitisha mpango wa kuipatia Saudia visiwa
Dec 30, 2016 04:14Ripoti kutoka Misri zinaeleza kuwa licha ya malalamiko ya wananchi na upinzani wa mahakama, serikali ya nchi hiyo imepitisha mpango wa kuipatia Saudi Arabia visiwa viwili vya Tiran na Sanafir. Duru za habari za Misri zimetangaza kuwa serikali imeidhinisha mpango huo na tayari imeshaupeleka bungeni.
-
Wamisri waingiwa na wasiwasi wa kuvamiwa nchi yao na wimbi la magaidi
Dec 29, 2016 11:16Duru za usalama nchini Misri zimetangaza habari ya uwezekano wa kuvamiwa nchi hiyo na wimbi la magaidi kutoka nchi nyingine, suala ambalo limezitia hofu nyoyo za wananchi wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Misri yaituhumu televisheni ya al Jazeera ya Qatar kuwa inaeneza fitna
Dec 26, 2016 03:42Serikali ya Misri imesema kuwa, mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha al Jazeera cha Qatar ametiwa mbaroni kutokana na kueneza fitna.
-
'Misri haikushauriana na Palestina kuhusu kutowasilisha UN rasimu ya azimio dhidi ya Israel'
Dec 23, 2016 23:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametangaza kuwa, kwa ombi la Misri, upigaji kura katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa rasimu ya azimio la kutaka kusimamishwa mara moja ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni umeakhirishwa.