-
Trump aishurutisha Misri kuakhirisha azimio la UN dhidi ya Israel
Dec 23, 2016 12:54Rais mteule wa Marekani amempigia simu Rais wa Misri na kuitaka Cairo iakhihirshe uwasilishaji wa rasimu ya azimio kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Misri yailaumu vikali Qatar, (P) GCC yailalamikia serikali ya Cairo
Dec 17, 2016 00:53Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetoa taarifa ya kuilaumu tena Qatar na kuituhumu kuwa ilihusika katika tukio la kigaidi la mripuko uliotokea kwenye kanisa la Othodoksi la Saint Mark la Waqibti katika mji mkuu Cairo.
-
Ushahidi waonesha: Ndege ya Misri iliangushwa na magaidi
Dec 16, 2016 00:19Kuna uwezekano mkubwa kwamba, ndege ya Misri iliyoanguka mapema mwa mwaka huu na kuua makumi ya watu ililipuliwa na magaidi.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya eneo la kidini Misri
Dec 12, 2016 03:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga kanisa moja katika mji mkuu wa Misri, Cairo na kusababisha vifo vya makumi ya watu.
-
Mkuu wa Azhar ya Misri alaani hujuma ya kigaidi dhidi ya kanisa Cairo
Dec 11, 2016 23:11Mkuu wa Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri amelaani shambulizi la kigaidi dhidi ya kanisa moja mjini Cairo na kuua makumi ya watu hapo jana.
-
Maafisa sita wa polisi wauawa katika hujuma ya kigaidi Cairo
Dec 09, 2016 10:42Maafisa sita wa polisi nchini Misri wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa leo Ijumaa baada ya bomu la kutegwa barabarnai kulipuka katika kituo kimoja cha upekuzi mjini Cairo.
-
Al Azhar yasisitiza kulindwa vijana mkabala wa fikra potofu
Dec 07, 2016 23:39Naibu wa Sheikhul Azhar wa Misri amewataka maulamaa wa Kiislamu wawaunge mkono zaidi vijana kukabiliana na hujuma za kifikra za maadui.
-
Mtandao mkuu wa kuuza viungo vya wanadamu Misri wavunjwa
Dec 07, 2016 04:18Misri imevunja mtandao mkubwa ambao umekuwa ukifanya magendo ya viungo vya wanadamu katika nchi mbali mbali duniani.
-
Misri yasambaratisha genge la kijasusi mjini Cairo, ni la nchi moja ya Kiarabu
Dec 05, 2016 00:47Shirika la Usalama la Misri jana Jumapili lilifanikiwa kusambaratisha genge moja la kijasusi la watu watano ambalo lilikuwa linaongozwa na afisa mmoja wa kijasusi wa nchi moja ya Kiarabu.
-
Misri yasisitiza kupambana na makundi ya kigaidi
Dec 01, 2016 04:07Mwakilishi wa Misri katika Umoja wa Mataifa ametaka kuendeshwa mapambano na nchi zote dhidi ya makundi ya kigaidi.