-
Darul-Iftaa Misri: Dini zote ziungane kupambana na makundi ya kigaidi
Nov 28, 2016 23:32Kituo cha kupambana na misimamo mikali cha Darul-Iftaa nchini Misri kimetangaza kuwa, kuna ulazima wa dini zote za mbinguni kuungana kukabiliana na jinai zinazofanywa na makundi ya kigaidi.
-
Hitilafu za kimitazamo baina ya Misri na Saudi Arabia katika uga wa kimataifa
Nov 28, 2016 04:29Rais Abdul-Fattah al-Sisi wa Misri amesisitiza kuwa, serikali ya Cairo haiwezi kuwa mwana mtiifu wa Saudi Arabia na kutekeleza kila inachoamrishwa na Riyadh katika uga wa uhusiano wa kieneo na kimataifa.
-
El Sisi: Misri si mtumwa wa Saudi Arabia
Nov 27, 2016 12:30Rais wa Misri amesema, nchi yake kamwe haiwezi kufuata maamrisho ya Saudi Arabia katika mahusiano yake ya kieneo na kimataifa.
-
Ukurasa mpya wa uhusiano baina ya serikali ya Misri na Ikhwanul Muslimin
Nov 26, 2016 03:27Mabadiliko yanayoonekana katika siasa na vyombo vya mahakama nchini Misri yananaonesha kwamba, kuna uwezekano wa kushuhudiwa ukurasa mpya katika uhusiano wa serikali ya Misri na kundi la Ikhwanul Muslimin.
-
Ikhwani Misri yakanusha kuwa na uhusiano na makundi ya kigaidi
Nov 25, 2016 04:40Harakati ya Ikhwanul Muslimina ya Misri imekanusha madai kuwa chama hicho kinashirikiana na makundi ya kigaidi.
-
Askari 8 Misri wauawa katika mripuko wa bomu Peninsula ya Sinai
Nov 25, 2016 01:15Askari 8 wameuawa katika shambulio la bomu huko Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Kubadilika misimamo ya Misri kuhusu migogoro ya Mashariki ya Kati
Nov 24, 2016 03:41Rais wa Jamhuri ya Misri ametangaza kuwa, nchi yake inayaunga mkono majeshi ya serikali za Syria na Iraq katika mapambano yao dhidi ya ugaidi.
-
Misri yaunga mkono mapambano ya serikali za Syria, Iraq dhidi ya magaidi
Nov 23, 2016 10:35Rais wa Misri ametangaza kuwa, nchi yake inaunga mkono majeshi ya nchi za Iraq na Syria katika mapambano yao dhidi ya ugaidi.
-
Daesh wachinja wanazuoni wawili wa Kisuni nchini Misri
Nov 21, 2016 04:11Hisia tofauti zimeendelea kutolewa kwenye mitandao ya kijamii baada ya wafuasi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS kusambaza picha za wanazuoni wawili wa Kisuni waliowachinja kwa kuwakata vichwa katika eneo la Sinai.
-
Kukandamizwa waandishi wa habari nchini Misri
Nov 20, 2016 09:14Habari kutoka nchini Misi zinaonesha kuendelea kukandamizwa waandishi wa habari na serikali ya Rais Abdul Fattah el Sisi wa nchi hiyo na kuzidi kubanwa tasnia ya uandishi wa habari katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika. Hatua ya karibuni kabisa ni kitendo cha mahakama moja ya Misri cha kuwafunga jela miaka miwili mkuu wa chama cha waandishi wa habari na wanachama wawili wa chama hicho.