-
Sera za kujipanua za Saudia dhidi ya maslahi ya Misri
Nov 16, 2016 03:01Ripoti za vyombo vya habari zinaeleza kuwa Utawala wa Aal Saud umezusha madai mapya ya umiliki wa ardhi za Misri na kuanzisha propaganda za kupotosha ukweli wa historia kwa ajili ya kufanikisha tamaa zake za kujipanua.
-
Mahakama ya rufaa Misri yafuta adhabu ya kifo dhidi ya Muhammad Mursi
Nov 15, 2016 23:23Mahakama ya rufaa nchini Misri, sanjari na kukubali malalamiko ya Muhammad Mursi, rais wa zamani aliyeondolewa madarakani kupitia mapinduzi ya kijeshi, imefuta adhabu ya kifo iliyokuwa imetokewa dhidi yake.
-
Al Sisi: Mfalme wa Saudia aiombe radhi Misri
Nov 14, 2016 23:21Rais wa Misri amesema kuwa anataka Mfalme wa Saudi Arabia aiombe radhi Misri kama sharti la kuweza kuzisuluhisha Cairo na Riyadh.
-
Mamia wakamatwa Misri kwa 'kuitisha maandamano'
Nov 14, 2016 04:40Vyombo vya usalama nchini Misri vimewasweka mbaroni mamia ya wafuasi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin, kwa tuhuma za kuitisha maandamano dhidi ya serikali.
-
Misri yalaani matamshi ya Erdogan kuhusu al Sisi
Nov 11, 2016 11:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imelaani matamshi yaliyotolewa na Rais wa Uturuki kuhusiana na Rais Abdul Fattah al Sisi wa Misri na kuyataja kuwa ni mwendelezo wa hatua za kindumakuwili za serikali ya Ankara.
-
Jeshi la Misri lawekwa tayari kukabiliana na maandamano ya wananchi
Nov 11, 2016 11:34Askari usalama wa Misri wamewekwa katika hali ya tahadhari kwa ajili ya kukabiliana na maandamano ya wananchi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika leo kote nchini humo.
-
Vikosi vya usalama vyawekwa katika hali ya tahadhari nchini Misri
Nov 11, 2016 04:39Askari wa vikosi vya usalama wamesambazwa katika miji mbalimbali ya Misri, na vyombo vya usalama vimetangaza kuweko hali ya tahadhari nchini kote.
-
Mahakama ya Misri yakataa rufaa ya serikali kuhusu makubaliano na Saudia juu ya visiwa
Nov 08, 2016 12:12Mahakama Kuu ya Kiidara ya Misri imekataa rufaa iliyokatwa na serikali ya kupinga hukumu iliyotolewa hapo awali ya kubatilisha makubaliano yaliyofikiwa baina ya serikali hiyo na Saudi Arabia kuhusu umiliki wa visiwa viwili vilivyoko katika Bahari Nyekundu.
-
Saudia yasimamisha makubaliano ya kusafirisha mafuta Misri
Nov 08, 2016 04:05Katika kile kinachoonekana ni kutokota mzozo kati ya Riyadh na Cairo juu ya visiwa vya kiistratajia vya Tiran na Sanafir, Misri imetangaza rasmi kuwa, Saudi Arabia imesimamisha makubaliano ya kusafirisha mafuta katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Misri na Jordan zafanya luteka ya pamoja mjini Akaba
Nov 06, 2016 04:17Misri na Jordan zimeanza kufanya luteka ya pamoja katika mji wa bandari wa Aqaba, kusini magharibi mwa Jordan, katika juhudi za kumarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi mbili hizo.