-
Mahakama ya Jinai Misri yawahukumu watu 47 vifungo tofauti
Nov 05, 2016 23:13Mahakama ya Jinai nchini Misri imetoa hukumu ya vifungo vya miaka 7 hadi 15 jela kwa watu 47 baada ya kuwapata na hatia ya kupiga kambi katika Medani ya Rābiʻa al-ʻAdawiyya nchini humo.
-
Wawili wahukumiwa kunyongwa nchini Misri kwa ugaidi
Nov 05, 2016 11:36Mahakama moja nchini Misri imewahukumu kifo watu wawili kwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi na wengine 12 vifungo virefu na vifupi kwa kosa hilo hilo.
-
Watu 10 wauawa kaskazini mwa Misri
Oct 30, 2016 12:07Watu 10 wameuawa katika mapigano baina ya jeshi la Misri na watu wenye silaha katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Waziri wa Awqaf Misri asisitiza kuhusu vita dhidi ya wenye misimamo mikali
Oct 28, 2016 23:08Waziri wa Awqaf nchini Misri amesisitiza kuhusu ulazima wa kukabiliana na misimamo mikali ya kidini sambamba na kuwepo jitihada za kueneza amani katika jamii.
-
Misri yaidhinisha kifungo cha maisha jela dhidi ya kiongozi wa Ikhwani
Oct 27, 2016 04:33Mahakama ya Rufaa nchini Misri jana Jumatano ilitilia nguvu hukumu iliyotolewa na mahakama ya chini ya kifungo cha maisha jela kwa kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin.
-
Luteka ya pamoja ya kijeshi ya Russia na Misri yamalizika
Oct 26, 2016 11:47Televisheni ya al Ekhbariya ya nchini Syria imetangaza habari ya kumalizika mazoezi ya pamoja ya kijeshi baina ya Misri na Russia yaliyobeba kaulimbiu ya "Walinzi wa Urafiki 2016."
-
Mahakama ya Misri yathibitisha hukumu ya kifungo jela dhidi ya Morsi
Oct 23, 2016 00:56Mahakama ya rufaa nchini Misri imethibitisha na kupitisha rasmi hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela dhidi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Muhammad Morsi.
-
Wanaharakati wa Misri wataka kufanyike mapinduzi ya wenye njaa dhidi ya al Sisi
Oct 15, 2016 23:08Wanaharakati wa kambi ya upinzani nchini Misri wamewataka wananchi wa nchi hiyo kufanya maandamano dhidi ya Rais Abdul Fattah al Sisi wa nchi hiyo.
-
Mbunge: Uwezekano wa Misri kukata uhusiano na Saudia ni mkubwa
Oct 15, 2016 04:50Mbunge mmoja nchini Misri ameonya kuwa uwezekano wa Cairo kukata uhusiano wake na Saudi Arabia ni mkubwa sana na kusisitiza kuwa iwapo nchi mbili hizo zitakata uhusiano wao, itakuwa ni kwa manufaa na maslahi ya Ulimwengu wa Kiarabu.
-
Wanajeshi wa Russia wawasili Misri kwa ajili ya manuva ya kijeshi
Oct 14, 2016 10:55Kundi moja la wanajeshi maalumu wa kikosi cha anga wa Russia wamewasili Misri kwa lengo la kushiriki kwenye manuva ya kijeshi dhidi ya ugaidi.