-
Wanaharakati wa Misri wataka kufanyike mapinduzi ya wenye njaa dhidi ya al Sisi
Oct 15, 2016 23:08Wanaharakati wa kambi ya upinzani nchini Misri wamewataka wananchi wa nchi hiyo kufanya maandamano dhidi ya Rais Abdul Fattah al Sisi wa nchi hiyo.
-
Mbunge: Uwezekano wa Misri kukata uhusiano na Saudia ni mkubwa
Oct 15, 2016 04:50Mbunge mmoja nchini Misri ameonya kuwa uwezekano wa Cairo kukata uhusiano wake na Saudi Arabia ni mkubwa sana na kusisitiza kuwa iwapo nchi mbili hizo zitakata uhusiano wao, itakuwa ni kwa manufaa na maslahi ya Ulimwengu wa Kiarabu.
-
Wanajeshi wa Russia wawasili Misri kwa ajili ya manuva ya kijeshi
Oct 14, 2016 10:55Kundi moja la wanajeshi maalumu wa kikosi cha anga wa Russia wamewasili Misri kwa lengo la kushiriki kwenye manuva ya kijeshi dhidi ya ugaidi.
-
Mivutano katika uhusiano wa Misri na Saudia
Oct 12, 2016 12:00Inavyoonesha, mgogoro wa Syria utaifanya fungate ya ndoa ya uhusiano wa Misri na Saudi Arabia imalizike kabla ya muda uliotarajiwa.
-
Wanajeshi wa Russia kurejea katika kambi ya Umoja wa Kisovieti nchini Misri
Oct 10, 2016 10:29Baadhi ya duru za habari zimetangaza kuwa Moscow na Cairo zinafanya mazungumzo ili wanajeshi wa Russia warejee katika kambi iliyobaki katika zama za Umoja wa Kisoviet huko Misri.
-
Misri yaanza kusikiliza kesi kuhusu visiwa vya Sanafir na Tiran
Oct 09, 2016 04:24Mahakama moja nchini Misri imeanza kusikiliza rufaa ya serikali ya Cairo ya kupinga uamuzi wa mahakama ya chini ya nchi hiyo wa kutaka Saudi Arabia ipokonywe visiwa vya kistratajia vya Tifan na Sanafir, milki ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Misri yachukizwa na tahadhari iliyotolewa na Marekani
Oct 09, 2016 01:14Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Misri imekosoa vikali tahadhari ya kiusalama iliyotolewa na Marekani kwa raia wake wanaoishi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Mazungumzo ya Marais wa Misri na Sudan
Oct 07, 2016 02:30Misri na Sudan ni nchi mbili jirani zenye mivutano katika masuala mbalimbali. Mivutano hiyo imewafanya viongozi wa nchi hizo kukutana na kutiliana saini hati ya ushirikiano wa kiistratijia kama juhudi za kupunguza mivutano hiyo.
-
Mufti wa Misri awaambia Wamagharibi: Daesh si "Dola la Kiislamu"
Oct 06, 2016 12:17Mufti wa Misri amevitaka vyombo vya habari vya nchi za Magharibi viache kutumia neno "Dola la Kiislamu" kuliarifisha kundi la kigaidi la Daesh.
-
Wafungwa wa kisiasa 2500 wagoma kula huko Misri
Oct 03, 2016 10:29Wafungwa 2500 wa kisiasa nchini Misri wamegoma kula chakula na dawa wakilalamikia hali mbaya katika jela walipofungwa.