Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali ya boti Misri yapindukia 200

    Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali ya boti Misri yapindukia 200

    Sep 29, 2016 01:10

    Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali ya kupinduka kwa meli iliyobeba wahamiaji haramu iliyotokea wiki iliyopita kwenye eneo la Bahari ya Mediterranean imefikia 202.

  • Al Sisi: Jeshi la Misri lina nguvu

    Al Sisi: Jeshi la Misri lina nguvu

    Sep 26, 2016 23:21

    Rais wa Misri ameashiria kuwa tayari vikosi vya jeshi la nchi hiyo na kudai kuwa iwapo italazimu vikosi hivyo vya Misri vitasambazwa katika maeneo yote ya nchi hiyo katika muda wa masaa sita tu.

  • Miili ya watu 115 yapatikana kufuatia kuzama boti ya wahamiaji Misri

    Miili ya watu 115 yapatikana kufuatia kuzama boti ya wahamiaji Misri

    Sep 24, 2016 01:12

    Waokoaji nchini Misri wamefanikiwa kupata miili zaidi katika Bahari ya Mediterranean baada ya boti iliyokuwa na mamia ya wahamiaji kuzama hivi karibuni karibu na pwani ya nchi hiyo.

  • Wahamiaji 29 wafariki dunia nchini Misri baada ya boti kuzama

    Wahamiaji 29 wafariki dunia nchini Misri baada ya boti kuzama

    Sep 22, 2016 00:48

    Boti iliyokuwa imebeba wahamiaji haramu wapatao 600 imezama katika pwani ya Misri na kupelekea kwa uchache watu 29 kufariki dunia.

  • Mwanasiasa Misri: Nchi nyingi za Kiarabu ni vibaraka wakubwa wa Marekani na Israel

    Mwanasiasa Misri: Nchi nyingi za Kiarabu ni vibaraka wakubwa wa Marekani na Israel

    Sep 13, 2016 23:45

    Naibu Mkuu wa Muungano wa Asasi za Kiarabu nchini Misri, amesema kuwa baadhi ya nchi za Kiarabu za eneo la Mashariki ya Kati zinatekeleza siasa za Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • 'Kusimama kidete Syria ni katika heshima za umma wa Kiislamu'

    'Kusimama kidete Syria ni katika heshima za umma wa Kiislamu'

    Sep 01, 2016 11:08

    Mwanaharakati mmoja wa Misri amesema kuwa, Syria ni katika mataifa ya kujivunia ya ulimwengu wa Kiislamu na kujilinda na kusimama kidete nchi hiyo ni heshima kwa umma wa Kiislamu.

  • Misri: Al-Azhar itumie njia mpya katika ufundishaji kukabiliana na ugaidi

    Misri: Al-Azhar itumie njia mpya katika ufundishaji kukabiliana na ugaidi

    Aug 27, 2016 03:01

    Waziri wa Utamaduni nchini Misri Helmy al-Namnam, amekitaka Chuo Kikuu cha Kiislamu nchini humo kuangalia upya mbinu za ufundishaji wa masomo ya kidini.

  • Wanachama kadhaa wa Hamas wanashikiliwa jela Misri

    Wanachama kadhaa wa Hamas wanashikiliwa jela Misri

    Aug 23, 2016 03:49

    Wanachama kadhaa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas wamefungwa katika jela za usalama huko Misri.

  • Shoukry: Kuuliwa watoto wa Kipalestina  hakuwezi kutajwa kuwa ni ugaidi

    Shoukry: Kuuliwa watoto wa Kipalestina hakuwezi kutajwa kuwa ni ugaidi

    Aug 22, 2016 11:42

    Sameh Shoukry, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ameamsha hasira katika Ulimwengu wa Kiarabu Jumapili hii baada ya kusema kuwa vitendo vinavyofanywa na Israel haviwezi kutajwa kuwa ni ugaidi dhidi ya raia wa Palestina.

  • Wafuasi 418 wa Ikhwanul Muslimin wahukumiwa adhabu kali na mahakama ya kijeshi ya Misri

    Wafuasi 418 wa Ikhwanul Muslimin wahukumiwa adhabu kali na mahakama ya kijeshi ya Misri

    Aug 19, 2016 00:05

    Mahakama ya kijeshi ya Misri imetoa hukumu ya vifungo vya kuanzia miaka miwili hadi maisha jela kwa watu 418 ambao ni wanachama na wafuasi wa harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS