Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • HRW yaitaka Misri ichunguze mauaji ya mamia ya watu 2013

    HRW yaitaka Misri ichunguze mauaji ya mamia ya watu 2013

    Aug 15, 2016 03:36

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limelitaka bunge la Misri lianzishe uchunguzi huru na usioegemea upande wowote juu ya mauaji ya mamia ya waandamanaji mnamo Julai mwaka 2013.

  • Bunge la Misri limewazuia polisi kutoa taarifa kwa vyombo vya habari

    Bunge la Misri limewazuia polisi kutoa taarifa kwa vyombo vya habari

    Aug 10, 2016 03:02

    Bunge la Misri Jumanne wiki hii limeidhinisha marekebisho ya sheria yanayowazuia askari polisi wa nchi hiyo kutoa taarifa kwa vyombo vya habari.

  • Rais al Sisi atetea kuongezwa bajeti ya jeshi Misri

    Rais al Sisi atetea kuongezwa bajeti ya jeshi Misri

    Aug 07, 2016 22:18

    Rais Abdel Fattah al Sisi wa Misri ametetea kuongezwa bajeti ya vikosi vya jeshi la nchi hiyo.

  • Mufti Mkuu wa zamani wa Misri anusurika jaribio la mauaji

    Mufti Mkuu wa zamani wa Misri anusurika jaribio la mauaji

    Aug 05, 2016 09:27

    Vyombo vya usalama nchini Misri vimesema Mufti Mkuu wa zamani wa Misri na mwanachuoni mkubwa wa nchi hiyo ambaye amekuwa akikosoa makundi ya kigaidi na kitakfiri ameponea chupuchupu kuuawa katika jaribio la mauaji dhidi yake hii leo.

  • 11 wauawa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Misri

    11 wauawa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Misri

    Aug 06, 2016 03:20

    Watu wanne wameuawa na wengine saba kujeruhiwa katika hujuma inayoaminika kuwa ya ulipizaji kisasi katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.

  • Hatima ya TV za Ikhwanul Muslimin nchini Uturuki haijulikani

    Hatima ya TV za Ikhwanul Muslimin nchini Uturuki haijulikani

    Jul 16, 2016 23:37

    Vyombo vya habari vya Misri vimetangaza kuwa, hatima ya televisheni za kundi la Ikhwanul Muslimin zilizokuwa zinarusha matangazo yake nchini Uturuki, haijulikani.

  • Iran yamuita balozi wa Misri baada ya wabunge wa nchi hiyo kushiriki kikao cha magaidi wa MKO

    Iran yamuita balozi wa Misri baada ya wabunge wa nchi hiyo kushiriki kikao cha magaidi wa MKO

    Jul 14, 2016 11:23

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imemuita Balozi wa Misri mjini Tehran kulalamikia hatua ya wabunge wa nchi hiyo ya kushiriki katika mkutano wa kundi la kigaidi la Munafikina (MKO) uliofanyika Paris mji mkuu wa Ufaransa, hivi karibuni.

  • Amnesty: Mamia wametoweka mikononi mwa vyombo vya usalama Misri

    Amnesty: Mamia wametoweka mikononi mwa vyombo vya usalama Misri

    Jul 13, 2016 13:59

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza wasiwasi wake juu ya wimbi la kutoweka mamia ya watu wakiwa mikononi mwa vyombo vya usalama nchini Misri tangu mapema mwaka jana.

  • Misri yalalamikia hatua ya Italia ya kukata ushirikiano wake na Cairo

    Misri yalalamikia hatua ya Italia ya kukata ushirikiano wake na Cairo

    Jul 07, 2016 02:53

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imeelezea kusikitishwa kwake na hatua ya Italia ya kusimamisha ushirikiano wake na Cairo.

  • Miili mingine ya walioaga dunia katika ajali ya EgyptAir yapatikana

    Miili mingine ya walioaga dunia katika ajali ya EgyptAir yapatikana

    Jul 04, 2016 02:52

    Mabaki mengine ya viwiliwili vya watu waliofariki dunia kwenye ajali ya ndege ya abiria ya shirika la ndege la EgyptAir la Misri yamepatikana katika Bahari ya Mediterania.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS