-
Nchi zisizo za Kiislamu zatakiwa kuheshimu haki za Waislamu
Jul 03, 2016 08:51Mshauri iwa Rais wa Misri amesema kuwa upo ulazima kwa nchi zisizo za Kiislamu kuheshimu haki za Waislamu.
-
Askari 6 wa Misri wauawa katika mpaka na Libya
Jul 01, 2016 03:34Habari kutoka Cairo, mji mkuu wa Misri zinasema kuwa, kwa akali skari 6 wa jeshi la nchi hiyo wameuawa kwenye makabiliano na kundi la watu wanaofanya magendo ya silaha na mihadarati katika mpaka wa nchi hiyo na Libya.
-
Misri yafungua tena kivuko cha Rafah kwa muda
Jun 29, 2016 09:12Misri imefungua tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina karibu milioni mbili walio chini ya mzingiro huko Ukanda Gaza tangu mwaka 2007 na kusema kuwa eneo hilo la mpakani litasalia wazi hadi Julai 4.
-
Frontex: Wakimbizi wanazidi kumiminika Ulaya kupitia Misri
Jun 28, 2016 23:57Shirika la Frontex limeripoti kuwa, lina wasiwasi kuhusu ongezeko kubwa la wakimbizi kuingia barani Ulaya kwa kupitia Misri na kwamba wakimbizi hao wanakabiliwa na hatari ya kifo baharini.
-
Angola, Misri kuishawishi UN kuziondolea vikwazo CAR na S/Kusini
Jun 21, 2016 23:34Angola na Misri zimesema zitazishawishi nchi wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikubali wazo la kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini.
-
Mahakama Misri yabatilisha kukabidhiwa Saudia visiwa viwili muhimu
Jun 21, 2016 10:25Mahakama moja nchini Misri imetengua hatua ya serikali ya Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo ya kuipatia Saudi Arabia visiwa viwili vya kistratejia vya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Kiarabu yaituhumu Misri kuwa inakiuka haki za wapinzani
Jun 20, 2016 08:59Ripoti iliyotolewa na Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Kiarabu imetangaza kuwa hadi sasa Mahakama za Misri zimewahukumu kifo wapinzani 734 wa serikali ya Cairo.
-
Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin Misri ahukumiwa kifungo cha maisha jela
May 30, 2016 11:12Mahakama ya Misri imemhukumu kifungo cha maisha jela kiongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya nchini humo na kuwahukumu vifungo tofauti jela wanachama wengine wa harakati hiyo iliyopigwa marufuku baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na maandamano yaliyofanywa baada ya kupinduliwa Rais halali wa nchi hiyo Mohamed Morsi.
-
Polisi watatu watiwa mbaroni nchini Misri
May 30, 2016 00:05Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Misri ametoa amri ya kutiwa mbaroni maafisa watatu wa jeshi la polisi la nchi hiyio kwa tuhuma za kumtesa na kumpiga vibaya raia mmoja wa nchi hiyo.
-
Israel, Misri, UAE na Jordan zapanga kumtimua Rais wa Palestina
May 29, 2016 23:56Utawala wa Kizayuni wa Israel na waitifaki wake ikiwemo Misri, Umoja wa Falme za Kiarabu na Jordan zinapanga njama ya kumuondoa madarakani Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas.