-
Baada ya kuikabidhi Riyadh visiwa viwili, sasa Rais el Sisi aruhusu raia wa Saudia kumiliki ardhi Misri
May 27, 2016 23:20Hivi karibuni wananchi wa Misri walifanya maandamano makubwa ya kulalamikia hatua ya Rais Abdul Fattah el Sisi ya kuipa Saudia visiwa viwili vya nchi hiyo.
-
Mripuko wa bomu watikisa viungani mwa mji mkuu wa Misri, Cairo
May 26, 2016 03:36Idadi kubwa ya watu wanahofiwa kupoteza maisha katika mripuko wa bomu ulioutikisa mji wa Giza, ambao uko karibu na mji mkuu wa Misri, Cairo.
-
Zaidi ya magaidi 80 wauawa Sinai, Misri
May 25, 2016 23:57Jeshi la Misri limetangaza kuwa, limefanikiwa kuua magaidi wasiopungua 85 katika kipindi cha siku nne zilizopita kwenye maeneo ya Sheikh Zuweid na Rafah, katika rasi ya Sinai ya kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Russia yaitaka Misri iimarishe usalama katika viwanja vyake vya ndege
May 25, 2016 23:56Russia imeitaka Misri ihakikishe imeimarisha usalama katika viwanja vyake vya ndege hadi mwishoni mwa nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2016.
-
EU yatakiwa iache kuiuzia silaha Misri ili kukomesha mauaji na ukandamizaji
May 25, 2016 03:01Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeutaka Umoja wa Ulaya uache kuiuzia silaha na zana za kijeshi Misri na kusisitiza kuwa umoja huo unaisadia serikali ya Cairo katika mauaji na ukandamizaji wa raia.
-
Idara ya uchunguzi wa vifo: Mripuko ulitokea ndani ya ndege ya Egyptair
May 24, 2016 23:38Afisa wa Idara ya uchunguzi wa vifo ya Misri ametangaza kuwa mabaki ya viwiliwili vya watu waliofariki kwenye ajali ya ndege ya shirika la ndege la nchi hiyo yanaonesha kuwa ulitokea mripuko ndani ya ndege hiyo kabla ya kuanguka katika Bahari ya Mediterania.
-
Wafungwa wa Misri wasusia chakula kukosoa 'kesi bandia'
May 23, 2016 07:47Makumi ya wafungwa wa Misri walioshiriki maandamano ya kuikosoa serikali ya Cairo kwa kuipa Saudi Arabia visiwa viwili vinavyomilikiwa na nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wanafanya mgomo wa kula, kulalamikia kile walichokitaja kuwa kesi bandia na za kidhulma dhidi yao.
-
66 wahofiwa kupoteza maisha baada ya ndege ya abiria ya Misri kutoweka kwenye rada
May 19, 2016 02:40Ndege ya abiria ya shirika la EgyptAir iliyokuwa imebea abiria 56 na wahudumu 10 wakiwemo marubani imetoweka kwenye rada, ikitokea mji mkuu wa Ufaransa Paris kuelekea Cairo, mji mkuu wa Misri.
-
Mabaki ya ndege ya EgyptAir yapatikana Baharini
May 20, 2016 11:56Jeshi Wanamaji la Misri limesema kuwa limepata baadhi ya mabaki ya ndege ya abiria ya EgyptAir katika Bahari ya Mediterranean yapata kilomita 290 kaskazini mwa mji wa pwani wa Alexandria.
-
Sheikhul Azhar, Uislamu hauchochei ugaidi
May 19, 2016 23:37Mufti wa al Azhar, Dk Ahmad Muhammad al Tayyib amesema kuwa, kwa mujibu wa aya ya 32 ya Suratul Maida ya Qur'ani Tukufu, dini ya Kiislamu inapiga marufuku kumshambulia mwanadamu yeyote kutoka dini yoyote ile.