Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Misri yatoa hukumu dhidi ya 152 waliopinga Saudia kupewa visiwa vya nchi hiyo

    Misri yatoa hukumu dhidi ya 152 waliopinga Saudia kupewa visiwa vya nchi hiyo

    May 15, 2016 09:11

    Mahakama moja nchini Misri imewahukumu watu 152 kifungo cha kati ya miaka miwili hadi mitano jela kwa kushiriki maandamano ya Aprili 25 ya kupinga hatua ya serikali ya nchi hiyo kuipa Saudi Arabia visiwa viwili, vinavyomilikiwa na nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Al Azhar kuasisi asasi ya kukurubisha madhehebu ya Kiislamu Misri

    Al Azhar kuasisi asasi ya kukurubisha madhehebu ya Kiislamu Misri

    May 12, 2016 23:41

    Mhadhiri mmoja wa fikihi katika Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri ametangaza habari ya kuasisiwa taasisi maalumu ya kukurubisha madhehebu ya Kiislamu.

  • Watu 8 wauawa Misri, el Sisi ataka vikwazo dhidi ya Libya viondolewe

    Watu 8 wauawa Misri, el Sisi ataka vikwazo dhidi ya Libya viondolewe

    May 08, 2016 03:06

    Watu wenye silaha wamelishambulia basi moja lililokuwa na maafisa wa polisi katika eneo la Halwan, kusini mwa mji mkuu wa Misri, Cairo, na kuua watu wanane akiwemo afisa mmoja wa polisi.

  • Kurejea Misri katika Bunge la Afrika

    Kurejea Misri katika Bunge la Afrika

    May 06, 2016 03:15

    Baada ya miaka kadhaa ya kuwa nje ya Bunge la Afrika, kwa mara nyingine tena Misri imerejea kwenye bunge hilo. Kuhusu suala hilo Ali Abdel Aal, spika wa bunge la Misri ameongoza ujumbe wa nchi yake katika kikao cha Bunge la Afrika huko Johannesburg Afrika Kusini.

  • Misri yarejea kwenye bunge la Afrika baada ya kutengwa kwa muda mrefu

    Misri yarejea kwenye bunge la Afrika baada ya kutengwa kwa muda mrefu

    May 04, 2016 10:06

    Hatimaye Misri imerudi kwenye bunge la Afrika baada ya kutengwa kwa kipindi cha miaka mitatu.

  • Polisi ya Misri wahujumu chama cha waandishi habari

    Polisi ya Misri wahujumu chama cha waandishi habari

    May 02, 2016 12:23

    Polisi nchini Misri wamevamia idara ya waandishi habari mjini Cairo na kuwatia mbaroni waandishi habari wawili wanaotuhumiwa kuchochea maandamano dhidi ya serikali.

  • Misri yapongeza hatua ya Machar kurejea Juba kuunda serikali

    Misri yapongeza hatua ya Machar kurejea Juba kuunda serikali

    Apr 28, 2016 23:39

    Serikali ya Misri imepongeza hatua ya Riek Machar, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini kurejea mjini Juba kwa ajili ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na hasimu wake wa kisiasa Rais Salva Kiir.

  • Mtawala wa Misri El Sisi aendelea kukiuka haki za binadamu

    Mtawala wa Misri El Sisi aendelea kukiuka haki za binadamu

    Apr 28, 2016 03:19

    Rais Abdel Fatah el Sisi nchini Misri ameendelea kukiuka haki za binaadamu huku akikosolewa kitaifa na kimataifa kutokana na kuendelea kuzorota hali ya mambo nchini humo.

  • Waandishi habari waandamana Cairo kupinga hatua ya al Sisi na kuipa saudia visiwa vya Misri

    Waandishi habari waandamana Cairo kupinga hatua ya al Sisi na kuipa saudia visiwa vya Misri

    Apr 25, 2016 22:06

    Wanachama wa Jumuiya ya Waandishi Habari wamefanya maandamano mjini Cairo wakipinga hatua ya Rais wa Misri, Abdul Fattah al Sisi ya kuipatia Saudi Arabia visiwa viwili vya Tiran na Sanafir na kupasisha makubaliano ya kuchora mipaka ya baharini kati ya nchi hizo mbili.

  • Wamisri waanzisha kampeni ya kupinga kutolewa visiwa viwili kwa Saudia

    Wamisri waanzisha kampeni ya kupinga kutolewa visiwa viwili kwa Saudia

    Apr 23, 2016 01:48

    Wanasiasa na wanaharakati wa Misri wameanzisha kampeni ya kupinga hatua ya Rais wa nchi hiyo, Adul Fattah al Sisi ya kuipatia Saudi Arabia visiwa viwili vya Tiran na Sanafir.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS