-
Iran na Misri zajadili masuala ya kikanda na kimataifa
Oct 17, 2024 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi; ambapo wamejadili masuala muhimu ya kikanda na uhusiano wa pande mbili.
-
Marekani kuiuzia Misri makombora ya dola milioni 740
Sep 26, 2024 00:29Serikali ya Marekani imeidhinisha mauzo ya makombora yenye thamani ya mamilioni ya dola kwa Misri licha ya serikali ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kuendelea kuandamwa na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Iran: Tuna haki ya kujibu mapigo ya mauaji ya kigaidi ya Haniyah
Aug 17, 2024 23:29Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ina haki ya kujibu kwa njia halali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumuua kigaidi Ismail Haniyah, aliyekuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas akiwa ziarani hapa mjini Tehran.
-
Bagheri Kani: Iran itatoa jibu madhubuti kwa ugaidi wa Israel
Aug 07, 2024 03:36Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema utawala wa Israel ndio chanzo halisi cha ukosefu wa utulivu katika eneo la Asia Magharibi, na kwamba utawala huo wa Kizayuni unapata ujasiri wa kutenda jinai na vitendo vyake vya kigaidi kutokana na kimya cha nchi za Ulaya.
-
Makundi ya kisiasa Sudan yakataa kutia saini taarifa ya mwisho ya mkutano wa Cairo
Jul 08, 2024 03:37Mkutano wa makundi ya kisiasa na kiraia ya Sudan ulimalizika jana mjini Cairo, Misri ambapo vyama vya Sudan vilijadili njia za kutatua mgogoro wa ndani wa nchi hiyo, huku baadhi ya makundi yakikataa kutia saini taarifa ya mwisho ya mkutano wa Cairo.
-
Misri yaikosoa Israel kwa kuiba misaada ya kibinadamu ya Wapalestina
Jun 26, 2024 23:29Waziri wa Mambo ya Nje ya Misri amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kupora na kuzuia kuingizwa na kusambazwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kupitia kivuko cha Rafah.
-
Iran yazitaka nchi za Waislamu kuunganisha nguvu zao kukabiliana na Israel
Jun 07, 2024 02:50Katika mazungumzo ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitizia ulazima wa kuunganishwa nguvu za nchi za Waislamu katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni.
-
Katibu Mkuu wa UN atuma rambirambi kufuatia kufa shahidi Ebrahim Raisi na wenzake
May 21, 2024 08:56Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametuma salamu za rambirambi kwa familia za shahidi Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wenzake aliokuwa amefuatana nao na kutoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran.
-
Misri: Gaza imefikia katika ukingo wa njaa
May 21, 2024 08:32Mwakilishi wa Misri katika Umoja wa Matiafa amesema kuwa hali ya mambo katika Ukanda wa Gaza imefikia katika ukingo wa njaa.
-
Misri yaungana na Afrika Kusini katika mashtaka dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
May 13, 2024 02:54Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Misri imetangaza kuungana na mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji katika Ukanda wa Gaza.