Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Mufti wa Misri asisitiza kuweko ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Mufti wa Misri asisitiza kuweko ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Mar 23, 2016 10:29

    Mufti Mkuu wa Misri amesisitiza kuweko udharura wa ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi.

  • Harakati za kigaidi zashika kasi Sinai Kaskazini, Misri

    Harakati za kigaidi zashika kasi Sinai Kaskazini, Misri

    Mar 21, 2016 04:31

    Magaidi wenye mfungamano na kundi la kitakfiri la Daesh wamezisisha harakati zao katika eneo la Sinai Kaskazini nchini Misri licha ya askari usalama wa nchi hiyo kunzisha operesheni ya kuliandamana kundi hilo tangu miezi sita iliyopita.

  • Harakati za kigaidi zashika kasi Sinai Kaskazini, Misri

    Harakati za kigaidi zashika kasi Sinai Kaskazini, Misri

    Mar 21, 2016 03:39

    Magaidi wenye mfungamano na kundi la kitakfiri la Daesh wamezisisha harakati zao katika eneo la Sinai Kaskazini nchini Misri licha ya askari usalama wa nchi hiyo kunzisha operesheni ya kuliandamana kundi hilo tangu miezi sita iliyopita.

  • Mapigano yashuhudiwa kaskazini mwa Misri, Daesh watangaza kuhusika

    Mapigano yashuhudiwa kaskazini mwa Misri, Daesh watangaza kuhusika

    Mar 19, 2016 23:38

    Mapigano makali yalishuhudiwa hapo jana kati ya watu wenye silaha na askari wa serikali nchini Misri katika eneo la karibu na mji wa El Arish, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Waziri wa Sheria wa Misri alazimishwa kujiuzulu kufuatia matamshi yake ya kufuru

    Waziri wa Sheria wa Misri alazimishwa kujiuzulu kufuatia matamshi yake ya kufuru

    Mar 15, 2016 03:58

    Hatimaye Waziri wa Sheria wa Misri, Ahmed al-Zand ambaye siku chache zilizopita pia aliibua matamshi ya utata, amelazimika kujiuzulu mara hii ikiwa ni baada ya kutoa matamshi ya kufuru na ya kumvunjia heshima Mtume wa Uislamu (saw). Al-Zand amejiuzulu baada ya Waziri Mkuu wa Misri Sherif Ismail kumtaka afanye hivyo.

  • Waziri wa Sheria wa Misri atimuliwa kwa kumvunjia heshima Mtume (saw)

    Waziri wa Sheria wa Misri atimuliwa kwa kumvunjia heshima Mtume (saw)

    Mar 13, 2016 22:34

    Waziri wa Sheria wa Misri, Ahmed al-Zand ametimuliwa kazi siku mbili baada ya kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) katika mahojiano ya televisheni.

  • Aboul Gheit wa Misri ndiye Katibu Mkuu mpya wa Arab League

    Aboul Gheit wa Misri ndiye Katibu Mkuu mpya wa Arab League

    Mar 11, 2016 04:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Misri, Ahmed Aboul Gheit ndiye Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).

  • Huwaidi: Wamisri wanaziona tuhuma za serikali dhidi ya Ikhwan na Hamas ni kichekesho

    Huwaidi: Wamisri wanaziona tuhuma za serikali dhidi ya Ikhwan na Hamas ni kichekesho

    Mar 08, 2016 22:19

    Msomi na mwandishi maarufu wa nchini Misri, Fahmi Huwaidi amesema kuwa, tuhuma za hivi karibuni za Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo, dhidi ya Harakati ya Ikhwanul Muslimin na Harakati ya Kiislamu ya palestina Hammas, ni kichekesho.

  • Huwaidi:  Tuhuma za serikali dhidi ya Ikhwan na Hamas ni kichekesho

    Huwaidi: Tuhuma za serikali dhidi ya Ikhwan na Hamas ni kichekesho

    Mar 08, 2016 11:05

    Msomi na mwandishi maarufu wa Misri, Fahmi Huwaidi amesema kuwa, tuhuma zilizotolewa hivi karibuni za Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo dhidi ya harakati ya Ikhwanul Muslimin na harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, ni kichekesho.

  • Misri: Inawezekana Ikhwan na Hamas ndio waliopanga shambulio dhidi ya mwanasheria mkuu

    Misri: Inawezekana Ikhwan na Hamas ndio waliopanga shambulio dhidi ya mwanasheria mkuu

    Mar 07, 2016 03:05

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Misri, ameitaja Harakati iliyopigwa marufuku ya Ikhwanul Muslimin na harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas kuwa ndio waliohusika katika shambulio la kigaidi dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS