-
"Iran na Misri kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia karibuni"
Dec 30, 2023 08:39Afisa wa ngazi za juu wa Misri amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika na Iran zinatazamiwa kufufua kikamilifu uhusiano wa pande mbili wa kidiplomasia, na hata kubadilishana mabalozi.
-
Mazungumzo ya kwanza ya simu baina ya Marais wa Iran na Misri; hatua ya kukuza uhusiano
Dec 24, 2023 04:44Jana Jumamosi, Sayyid Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alizungumza kwa simu na Rais Abdel Fattah El Sisi wa Misri, ikiwa ni mara ya kwanza kwa marais wa nchi hizi mbili kuzungumza kwa simu na ikiwa ni katika sehemu ya juhudi za kufufua uhusiano wa pande mbili.
-
Marais wa Iran na Misri wahimiza kustawishwa uhusino wa nchi mbili katika nyuga zote
Dec 23, 2023 23:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa simu na rais mwenzake wa Misri na kutilia mkazo udharura wa kustawishwa uhusiano wa nchi hizi mbili katika nyuga tofauti.
-
Misri: Mazungumzo na Bwawa la Renaissance yamefeli
Dec 20, 2023 02:50Misri imetangaza kwamba mazungumzo kuhusu Bwawa la Renaissance nchini Ethiopia yamemalizika bila mafanikio, na imeishutumu Addis Ababa kuwa imekataa masuluhisho yote yaliyopendekezwa kwa ajili ya kutatua mzozo wa ujenzi wa bwawa bilo juu ya maji ya Mto Nile.
-
Misri: Israel inazuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Nov 14, 2023 09:06Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imetangaza kuwa nchi hiyo haijafunga kivuko cha Rafah, lakini utawala wa Kizayuni wa Israel unazuia misaada kuingia Gaza.
-
Sheikh Al-Azhar wa Misri asisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Nov 11, 2023 02:42Sheikh wa Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri amesisitiza juu ya ulazima wa kukomeshwa jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Misri yapinga mpango wa kuindoa Hamas mamlakani Gaza
Nov 09, 2023 10:02Serikali ya Misri imeripotiwa kukataa pendekezo la Marekani la kutwaa kwa muda mamlaka katika Ukanda wa Gaza, ikisisitiza kuwa Cairo haitakuwa na nafasi yoyote katika kuondolewa madarakani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Wataalamu wailaumu vikali Misri kwa msimamo dhaifu mbele ya jinai za Israel huko Ghaza
Oct 28, 2023 11:02Wataalamu na wachambuzi mbalimbali wameendelea kutoa lawama kali dhidi ya serikali ya Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri kwa msimamo dhaifu inaoonesha mbele ya jinai za kuchumpa mipaka zinazofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Ghaza.
-
Viongozi wa nchi za Kiarabu walaani mashambulizi ya Israel huko Gaza, wahimiza juhudi mpya za amani Palestina
Oct 21, 2023 23:50Viongozi wa nchi za Kiarabu wametoa wito wa kuanzishwa upya juhudi za amani kati ya Israel na Palestina ili kukomesha uvamizi wa Israel na kutatua mzozo unoendelea kwa miongo kadhaa kati ya pande hizo mbili, huku utawala haramu Israel ukiendeleza mashambulizi ya kikatili dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano dhidi ya Wazayuni yashtadi, Israel yafunga balozi zake Rabat, Cairo
Oct 19, 2023 23:28Maandamano yanayoendelea kushuhudiwa katika nchi mbalimbali duniani kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, yameilazimisha Tel Aviv kuwahimisha wafanyakazi wa balozi zake katika nchi za Misri na Morocco.