-
Al Burhan akutana na al Sisi mjini Cairo katika safari ya kwanza nje ya nchi baada ya kuanza vita Sudan
Aug 29, 2023 08:21Mkuu wa Baraza la Utawala wa Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, leo Jumanne amewasili nchini Misri, katika ziara yake ya kwanza ya kigeni tangu kuanza mapigano ya ndani nchini Sudan yapata miezi 5 iliyopita, huku mapigano yakiendelea kati ya Jeshi la Sudan na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika mji wa Khartoum na maeneo mengine.
-
Misri yamkamata mwandishi habari aliyefichua utambulisho wa maafisa waliokuwa kwenye ndege iliyokamatwa Zambia
Aug 21, 2023 06:47Mtandao wa Middle East Eye umeripoti kuwa askari usalama wa Misri wamemkamata mwandishi wa habari Karim Al-Asaad, kwa sababu ya kuchapisha makala kwenye vyombo vya habari kuhusu maafisa wa serikali ya Cairo waliokuwa kwenye ndege ya kibinafsi, ambayo ilikamatwa na mamlaka ya Zambia katika wiki iliyopita.
-
Kukataa Misri ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine
Aug 13, 2023 07:01Misri imekataa ombi la Marekani la kuipa silaha Ukraine ikiwa ni katika sehemu ya mkakati wa Cairo ya kutopendelea upande wowote kwenye vita vya Ukraine na Russia.
-
Misri: Tuna hamu ya kuwa na uhusiano chanya na Iran
Jul 20, 2023 00:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri ameitaja Iran kama nchi kubwa na yenye ushawishi katika eneo na kusisitiza kuwa, maingiliano baina ya nchi mbili hizi hayajawahi kuvunjika.
-
Uturuki na Misri zateua mabalozi na kurejesha kikamilifu uhusiano wao wa kidiplomasia
Jul 04, 2023 06:48Uturuki na Misri zimeteua mabalozi wa pande mbili ili kurejesha rasmi uhusiano wao katika ngazi ya juu ya kidiplomasia.
-
Al Azhar yalaani hujuma ya Wazayuni na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Jun 25, 2023 04:29Taasisi ya al Azhar nchini Misri imelaani vikali kitendo cha walowezi wa Kiyahudi cha kuchoma moto na kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu.
-
Misri yakosoa EU kufuta mkutano baada ya Syria kurejea Arab League
Jun 19, 2023 07:18Misri imekosoa uamuzi wa Umoja wa Ulaya (EU) wa kufuta mkutano uliotazamiwa kufanyika wiki ijayo wa ngazi ya mawaziri baina yake na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, kutokana na Syria kurejeshewa uanachama kwenye taasisi hiyo ya Arab League.
-
Ombi la Misri la kujiunga na BRICS; ishara ya kupunguza uhusiano wake na nchi za Magharibi
Jun 16, 2023 03:03Ikiwa ni katika mwenendo wa nchi za dunia kuvutiwa na miungano pamoja na mashirika yasiyofungamana na Marekani na nchi nyingine za Magharibi, Misri imeomba uanachama katika jumuiya ya BRICS.
-
Misri yatuma maombi ya kujiunga na kundi la BRICS
Jun 14, 2023 23:20Balozi wa Russia nchini Misri amesema kuwa Cairo imetuma maombi rasmi ya kuwa mwanachama katika kundi la BRICS.
-
Al-Ahly ya Misri wafalme wa soka barani Afrika 2023
Jun 12, 2023 04:50Klabu ya Al-Ahly ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Mafarao hao wa Misri wametwaa kombe hilo la kibara, licha ya mchuano wa fainali kumalizika kwa sare ya bao 1-1.