-
BDS: Saudia inaendeleza jitihada za kuboresha uhusiano wake na Israel
Aug 09, 2019 03:01Mratibu wa harakati inayopinga dhulma na ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya Wapalestina ametangaza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unawashinikiza watu wa Palestina na kupalilia siasa za kibaguzi za Israel dhidi ya Wapalestina kwa hatua yake ya kuboresha uhusiano na utawala huo.
-
PLO: Hakuna amani Mashariki ya Kati bila ya kuundwa dola huru la Palestina
Oct 26, 2018 04:35Msemaji wa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, amani haiwezi kupatikana katika eneo la Mashariki ya Kati bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina mji mkuu wake ukiwa Quds tukufu.
-
Mapatano ya Karne; mpango wa kuifuta Palestina
May 02, 2018 08:07Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani yay Palestina amesisitiza kuwa, Beitul-Muqaddas ni mji mkuu wa abadi na milele wa Palestina.
-
Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa: Mji mkuu wa Palestina ni Quds Tukufu
Dec 31, 2017 03:30Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa amesisitiza kuwa, ulilmwengu unapaswa kufahamu kuwa, Quds Tukufu (Jerusalem) ni mji mkuu wa Palestina.
-
Kongamano la Quds, Mji Mkuu wa daima wa Palestina
Dec 27, 2017 13:57Viongozi wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa, Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi pale rais wa Marekani atakapobatilisha uamuzi wake wa kuitambua Quds Tukufu kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Bunge la Iran lapitisha: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina
Dec 24, 2017 16:42Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran leo wamepitisha mpango wa dharura wa kuunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu ya watu wa Palestina na kusisitiza kwamba Baitul Muqaddas utakuwa mji mkuu wa kudumu wa nchi ya Palestina.
-
Ismail Haniya: Quds Tukufu iliyoungana ni mji Mkuu wa Palestina
Dec 23, 2017 15:23Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya amesema, mji wa Quds (Jerusalem) ulioungana ni mji mkuu wa nchi huru ya Palestina, na nchi za Kiislamu na Kiarabu hazitaipuuza Quds.
-
Nchi za Ulaya: Hatua ya Marekani dhidi ya Quds inatia wasiwasi
Dec 06, 2017 15:01Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Uingereza, Sweden na Ujerumani wamesema kuwa wana wasiwasi mkubwa na uamuzi wa upande mmoja wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutambua rasmi mji wa Quds kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Zaidi ya watu 50 wafariki dunia kwa homa ya manjano nchini Angola
Feb 15, 2016 15:25Mkuu wa idara ya taifa ya afya nchini Angola amesema kuwa, watu 51 wamefariki dunia katika kipindi cha chini ya miezi mwili katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kutokana na homa ya manjano.