-
Namibia yafanikiwa kuzuia kuenea moto uliounguza zaidi ya theluthi moja ya mbuga ya taifa
Sep 30, 2025 11:58Indileni Daniel Waziri wa Mazingira, Misitu na Utalii wa Namibia amesema kuwa nchi yake imeathiriwa na moto mkubwa wa nyika ambao umeteketeza zaidi ya theluthi moja ya Mbuga ya Taifa ya Etosha, mojawapo ya hifadhi kubwa zaidi barani Afrika.
-
Moto waua 50 katika ukumbi wa starehe Macedonia Kaskazini
Mar 16, 2025 11:32Moto uliokumba klabu ya anasa katika mji wa Kocani, Macedonia Kaskazini usiku wa manane wa kuamkia leo umesababisha makumi ya watu kuaga dunia na kujeruhiwa, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya ndani.
-
Vijana wa Iraq wachoma moto ofisi ya kituo cha MBC cha Saudi Arabia
Oct 19, 2024 07:47Vijana wa Iraq waliokuwa na hasira wamechoma moto ofisi ya MBC ya Saudi Arabia mjini Baghdad baada ya kituo hicho cha televisheni kuwatusi makamanda wa muqawama waliouawa shahidi kuwa ni magaidi.
-
Moto wateketeza hifadhi ya silaha Chad, 55 wauawa na kujeruhiwa
Jun 19, 2024 11:01Makumi ya watu wamefariki dunia huku wengine wengi wakijeruhiwa kutokana na ajali ya moto iliyoikumba hifadhi ya silaha na zana za kijeshi nchini Chad.
-
Ethiopia kuwachukulia hatua wahalifu waliowachoma raia wakiwa hai, baadhi walikuwa na sare za jeshi
Mar 13, 2022 02:24Serikali ya Ethiopia ilisema jana Jumamosi kwamba itawachukulia hatua wahusika baada ya mkanda wa video kuonekana kwenye mitandao ya kijamii ukiwaonyesha watu wenye silaha, baadhi wakiwa wamevalia sare za kijeshi, wakiwachoma moto raia hadi kufa katika eneo la Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Wazimamoto Afrika Kusini wadhibiti moto uliounguza majengo ya Bunge, Cape Town
Jan 02, 2022 10:51Ripoti kutoka Afrika Kusini zinasema kuwa kikosi cha zimamoto kimefanikiwa kudhibiti kwa kiasi fulani moto mkubwa uliokuwa ukiunguza jengo la Bunge la nchi hiyo jijini Cape Town.
-
Moto wauawa watu 7 katika misitu ya Algeria
Aug 11, 2021 03:46Kwa akali watu saba wamepoteza maisha baada ya moto mkubwa kuteketeza misitu katika mkoa wa Tizi Ouzou nchini Algeria.
-
Zaidi ya 40 wauawa katika mkasa wa moto hospitalini Korea Kusini
Jan 26, 2018 07:23Kwa akali watu 41 wamepoteza maisha baada ya moto mkali kuteketeza sehemu ya jengo la hospitali moja nchini Korea Kusini mapema leo.
-
17 wapoteza maisha baada ya moto kuteketeza misitu, makazi Marekani
Oct 11, 2017 08:17Watu wasiopungua 17 wamefariki dunia katika mkasa wa moto unaoendelea kuteketeza misitu katika jimbo la California nchini Marekani.
-
Mkasa wa moto msituni waua watu 58 nchini Ureno
Jun 18, 2017 13:45Habari kutoka Ureno zinasema watu 58 wamethibitishwa kufariki dunia baada ya moto mkubwa ulioanzia katika msitu mmoja uliko karibu na mji wa Pedrogao Grande, katikati mwa nchi kuteketeza magari na makazi ya watu.