-
Iran yatuma vikosi na zana za kijeshi katika mpaka wa kaskazini
Dec 18, 2023 11:11Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Iran ametangaza habari ya kutumwa wanajeshi na zana za kivita katika mpaka wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ili kupiga jeki operesheni za kukabiliana na makundi ya kigaidi yalioazimia kuvuruga usalama wa taifa hili.
-
Burundi yafungua mipaka yake na Rwanda baada ya miaka 5
Oct 24, 2022 04:02Serikali ya Burundi imetangaza kufungua mipaka ya ardhini ya nchi hiyo na jirani yake Rwanda, baada ya kufungwa kwa kipindi cha miaka mitano.
-
Jenerali Baqeri: Iran inafuatilia nyendo zote za maadui mipakani
Jul 03, 2022 07:59Kamanda Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza usalama imara na thabiti katika mipaka ya magharibi ya nchi hii na kusisitiza kuwa, Iran inafuatilia kwa jicho la karibu nyendo na harakati za kutilia shaka za maadui muda wote.
-
ICJ kuangalia upya ombi la Kenya juu ya mzozo wa mpaka wa bahari na Somalia
Oct 06, 2019 02:51Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) inatazamiwa wiki ijayo kuangalia upya ombi la Kenya la kutaka kuakhirishwa kwa muda wa mwaka mmoja kesi ya mzozo wa mpaka wa baharini baina ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki na Somalia.
-
Magaidi wawaua shahidi askari 2 wa Iran katika mpaka wa Pakistan
Jul 21, 2019 12:31Wanachama wawili wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) wameuawa shahidi katika makabiliiano na magaidi kusini mashariki mwa nchi, karibu na mpaka wa Pakistan.
-
Ethiopia yaondoa wanajeshi wake katika mpaka na Eritrea
Dec 15, 2018 02:41Katika kile kinachoonekana ni ishara ya kuendelea kuimarika uhusiano wa Asmara na Addis Ababa, jana Ijumaa serikali ya Ethiopia ilitangaza habari ya kuviondoa vikosi vyake vya jeshi katika mpaka na Eritrea.
-
Eritrea na Ethiopia zafungua mpaka wa pamoja baada ya miaka 20
Sep 11, 2018 13:48Viongozi wa Ethiopia na Eritrea wamefungua mpaka wao wa pamoja kwa mara ya kwanza baada ya kupita miongo miwili; hatua ambayo inatazamiwa kufungua mlango wa kuimarika uhusiano wa kibiashara wa majirani hao wa Pemba ya Afrika.
-
Djibouti yaitaka UN itatue mgogoro wa mpaka wake na Eritrea
Jul 20, 2018 13:57Serikali ya Djibouti imeutaka Umoja wa Mataifa uingilie kati na kusuluhisha mgogoro wa mpaka wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika na jirani yake Eritrea.
-
Eritrea yaondoa wanajeshi wake katika mpaka na Ethiopia
Jul 19, 2018 15:32Serikali ya Eritrea imewaondoa wanajeshi wake katika mpaka wake na Ethiopia uliokuwa ukilindwa vikali.
-
Mutharika: Mazungumzo mapya kuhusu mzozo wa mpaka wa Tanzania/Malawi kuanza
Feb 07, 2017 15:05Rais Peter Mutharika wa Malawi amesema duru mpya ya mazungumzo ya kujaribu kuupatia ufumbuzi mzozo wa mpaka wa nchi hiyo na jirani yake, Tanzania itaanza karibuni hivi.