-
Indhari ya WHO kuhusu kushtadi migogoro ya kibinadamu kufuatia kusimamishwa misaada ya Marekani
Apr 22, 2025 02:33Afisa mmoja wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Jumapili Aprili 20 alitahadharisha kuwa kupungua misaada ya nje ya Marekani kunaweza kuzidisha ugumu na kutatiza pakubwa migogoro ya kibinadamu kote ulimwenguni.
-
Umoja wa Mataifa walaani njama za kuichafua UNRWA
Feb 07, 2024 02:22Maripota wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa, wanalaani vikali jaribio lolote la kuharamisha na kulichafua Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Maripota wa Umoja wa Mataifa walaani njama za kuichafua UNRWA
Feb 05, 2024 15:43Maripota wa Umoja wa Mataifa wametangaza kwamba wanalaani vikali jaribio lolote la kuharamisha na kuchafua Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Marekani yaikatisha tamaa Ukraine, onyo la Zelensky
Dec 23, 2023 06:20Kuendelea mvutano kati ya Warepublican na Ikulu ya White House juu ya kupasishwa msaada mpya kwa Ukraine, pamoja na kutoa kipaumbele Washington kwa vita vya Gaza na natija yake kusahaulika vita vya Ukraine, kumepelekea serikali ya Biden kuitahadharisha Kyiv kuhusu uwezekano wa kukatiwa au kupunguziwa kiasi kikubwa cha misaada yake.
-
Hatua mpya za Marekani katika fremu ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 30, 2023 11:35Tangu kuanza duru mpya ya vita kati ya utawala wa Kizayuni na makundi ya muqawama ya Palestina na operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa na radiamali kali ya Wazayuni dhidi ya hatua hiyo, Marekani ikiwa mshirika wa kistratijia wa Israel imetoa himaya kubwa ya kisiasa, kidiplomasia na kijeshi kwa utawala huo ghasibu. Filihali Washington imechukua hatua mpya katika mwelekeo huu.
-
Visingizio vinavyotumiwa na Marekani kuzuia misaada kwa nchi maskini duniani
Jun 13, 2021 03:20Wakati maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 vikiendelea kusababisha mgogoro wa kiuchumi na umaskini katika nchi mbalimbali duniani na kuzifanya nchi hizo zihitajie misaada zaidi ya nchi tajiri, maafisa wa serikali ya Marekani wanafanya mikakati ya kuzuia misaada kwa nchi hizo kwa kutumia visingizio vya aina mbalimbali.
-
Umoja wa Afrika walaani kitendo cha Marekani cha kuikatia misaada WHO
Apr 16, 2020 00:45Moussa Faki Mahamat, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) amelaani kitendo cha Marekani cha kulikatia misaada ya kifedha Shirika la Afya Duniani (WHO) la Umoja wa Mataifa tena wakati huu wa vita vya dunia nzima dhidi ya corona.
-
Kufichuliwa msaada wa kifedha wa Marekani kwa al Qaida nchini Sudan
Jul 27, 2018 04:43Kituo kimoja cha utafiti nchini Marekani kimefichua kuwa serikali ya zamani ya nchi hiyo ilikuwa ikilifadhili kifedha tawi la kundi la kigaidi la al Qaida huko Sudan.
-
EU: Tutaipatia Gambia msaada wa Euro milioni 75 ili kujidhaminia chakula
Feb 10, 2017 04:26Neven Mimica, Kamishna wa Ushirikiano na Ustawi wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo utaisaidia serikali ya Gambia msaada wa kiasi cha Euro milioni 75.
-
Wanavijiji nchini Mali washambuliana na kuuana
Jun 26, 2016 07:35Serikali ya Mali imetangaza kuwa, wakazi wa vijiji viwili katikati ya nchi hiyo wameshambuliana vikali na kusababisha watu wengi kuuawa na kujeruhiwa.