Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti

  • Mamia ya misikiti imebomolewa na Israel katika Ukanda wa Gaza

    Mamia ya misikiti imebomolewa na Israel katika Ukanda wa Gaza

    Oct 06, 2024 02:50

    Wizara ya Wakfu ya Gaza imetangaza kuwa misikiti zaidi ya 800 imebomolewa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina kufuatia vita na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mvua na mafuriko yabomoa Msikiti mkongwe zaidi Niger

    Mvua na mafuriko yabomoa Msikiti mkongwe zaidi Niger

    Sep 05, 2024 06:03

    Maafa ya mvua na mafuriko yanaendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali za magharibi mwa Afrika na kusababisha maafa makubwa ikiwa ni pamoja na kubomoa Msikiti mkongwe zaidi nchini Niger.

  • 84% ya Misikiti ya Gaza imeharibiwa na mabomu ya Wazayuni

    84% ya Misikiti ya Gaza imeharibiwa na mabomu ya Wazayuni

    Aug 22, 2024 03:06

    Asilimia 84 ya Misikiti katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu imeharibiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Misikiti zaidi ya 600 yabomolewa Ukanda wa Gaza kufuatia mashambulizi ya Wazayuni

    Misikiti zaidi ya 600 yabomolewa Ukanda wa Gaza kufuatia mashambulizi ya Wazayuni

    May 18, 2024 07:24

    Wizara ya Wakfu ya Gaza imetangaza kuwa misikiti 604 imebomolewa kikamilifu katika UKanda wa Gaza kufuatia vita na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni.

  • Shambulio dhidi ya msikiti la sababu za kifamilia lajeruhi watu 24 wakiwemo watoto kaskazini ya Nigeria

    Shambulio dhidi ya msikiti la sababu za kifamilia lajeruhi watu 24 wakiwemo watoto kaskazini ya Nigeria

    May 16, 2024 06:23

    Polisi ya Nigeria imesema, watu wasiopungua 24 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa katika jimbo la kaskazini la Kano baada ya mwanamume mmoja kushambulia msikiti waliokuwamo ndani yake watu hao waliokuwa wakisali na kusababisha mripuko.

  • Mapinduzi ya Kiislamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran

    Mapinduzi ya Kiislamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran

    Feb 05, 2024 06:24

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya Iran yaliyotokea 1979

  • Hujuma za Israel zimebomoa misikiti 1,000 Gaza tokea Oktoba 7

    Hujuma za Israel zimebomoa misikiti 1,000 Gaza tokea Oktoba 7

    Jan 22, 2024 12:02

    Wizara ya Wakfu na Masuala ya Dini katika Ukanda wa Gaza imesema mashambulizi ya vikosi vya utawala katili wa Israel dhidi ya eneo hilo lililozingirwa yamebomoa na kuharibu misikiti 1,000 tokea Oktoba 7 mwaka uliopita hadi sasa.

  • Serikali ya India yabomoa msikiti mwingine kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara

    Serikali ya India yabomoa msikiti mwingine kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara

    Jan 17, 2023 07:28

    Serikali ya India imebomoa msikiti mwingine katika jimbo la Uttar Pradesh kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara.

  • Mahakama ya India yakataa ombi la Waislamu, ubaguzi unaendelea

    Mahakama ya India yakataa ombi la Waislamu, ubaguzi unaendelea

    Sep 15, 2022 02:29

    Mahakama ya India imekataa ombi la Waislamu la kutupilia mbali shauuri la wanawake wa Kihindu la kutwaa msikiti wao katika mji wa Banaras.

  • Msikiti washambuliwa New York katika hujuma ya chuki dhidi ya Uislamu

    Msikiti washambuliwa New York katika hujuma ya chuki dhidi ya Uislamu

    Jul 13, 2022 03:46

    Msikiti mmoja umevunjiwa heshima mjini New York, huo ukiwa ni muendelezo wa vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS