-
Makumi ya Wapalestina watiwa nguvuni katika Msikiti wa Al-Aqsa
Jul 28, 2017 03:05Askari wa utawala wa Kizayuni wa israel wamewavamia Wapalestina waliofanya mgomo wa kukaa kitako katika msikiti wa Al-Aqsa na kuwatia nguvuni zaidi ya watu mia moja.
-
Mtaalamu wa UN: Israel haifai kufanya maamuzi ya upande mmoja kuhusu al-Aqsa
Jul 27, 2017 11:28Mtaalamu wa masuala ya haki wa Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Israel hauna mamlaka na uwezo wa kufanya maamuzi ya upande mmoja kuhusu usimamizi wa Msikiti wa al-Aqsa ulioko Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wanazuoni wa Iraq washangaa kimya cha nchi za Kiarabu kuhusu al-Aqsa
Jul 26, 2017 03:18Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Iraq imeeleza kusikitishwa kwake na kimya cha watawala wa nchi za Kiarabu kuhusu hali mbaya ya mgogoro inayoikabili Quds na msikiti mtukufu wa al-Aqsa.
-
Balozi wa Palestina UN: Baraza la Usalama limeshindwa kuchukua uamuzi kuhusu msikiti wa Al-Aqsa
Jul 25, 2017 12:01Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema Baraza la Uslaama la umoja huo halina ubavu wa kuchukua uamuzi kuhusu hali mbaya ya mgogoro inayoikabili Quds na msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.
-
UN yatahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya mvutano wa al-Aqsa
Jul 24, 2017 22:29Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu athari mbaya za mgogoro uliosababishwa na hatua ya Israel ya kuwazuia Waislamu wa Palestina kutekeleza ibada ya Swala katika Msikiti wa al Aqsa na kusisitiza kuwa, unaweza kuwa na maafa makubwa.
-
Erdogan: Waislamu hawawezi kufumbia macho mgogoro wa al-Aqsa
Jul 23, 2017 23:28Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekosoa vikali hatua kandamizi za usalama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji wa Quds Tukufu na kusisitiza kuwa katu Waislamu hawawezi kunyamazia kimya jinai hizo.
-
Arab League: Israel inacheza na moto kuhusu kadhia ya Quds
Jul 23, 2017 09:41Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba 'unacheza na moto' kutokana na kushadidisha ukandamizaji dhidi ya Wapalestina wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
-
Al Azhar yaonya kuhusu kuendelea Israel kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa
Jul 21, 2017 23:19Chuo Kikuu cha al Azhar cha nchini Miri kimeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na jinai unazozifanya pambizoni mwa Msikiti wa al Aqsa kwani jinai hizo zinawaumiza Waislamu wote duniani.
-
Dahlan: Vitendo vya Israel Masjidul Aqswa ni ugaidi ulio wazi
Jul 20, 2017 03:24Mjumbe wa zamani wa Kamati Kuu ya harakati ya Fat'h ya Palestina amesema kuwa, vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mtakatifu wa Quds na Msikiti wa al Aqsa ni ugaidi ulio wazi.
-
UN yataka kukomeshwa mapigano Masjidul Aqsa
Jul 19, 2017 02:45Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kukomeshwa mapigano yanayoendelea katika Msikiti mtakatifu wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.