Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • Harakati za Palestina zaonya kuhusu jinai za Wazayuni katika Msikiti wa Al Aqsa

    Harakati za Palestina zaonya kuhusu jinai za Wazayuni katika Msikiti wa Al Aqsa

    Jul 18, 2017 11:13

    Harakati za mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina katika Ukanda wa Ghaza zimetahadharisha kuhusu jinai mpya zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • Wapalestina waandamana kulaani jinai za Wazayuni katika Masjidul Aqswa

    Wapalestina waandamana kulaani jinai za Wazayuni katika Masjidul Aqswa

    Jul 16, 2017 10:41

    Kundi la Wapalestina na wawakilishi wa makundi ya Palestina leo Jumapili wamefanya maandamano kulaani jinai za mara kwa mara zinazofanywa na Wazayuni maghasibu dhidi ya Msikiti wa Aqsa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

  • Msikiti wa al-Aqsa, lengo la njama za Israel na uhaini wa utawala wa Aal-Saud

    Msikiti wa al-Aqsa, lengo la njama za Israel na uhaini wa utawala wa Aal-Saud

    Jul 16, 2017 07:49

    Katika hali ambayo njama za utawala haramu wa Israel dhidi ya Masjidul-Aqsa zimeshika kasi katika siku za hivi karibuni, habari zinaripoti kuwepo harakati za utawala wa Aal-Saud kwa ajili ya kuiandalia mazingira Israel iweze kuudhibiti kikamilifu msikiti huo.

  • Lebanon yataka mataifa ya ulimwengu yailazimishe Israel iache uvamizi

    Lebanon yataka mataifa ya ulimwengu yailazimishe Israel iache uvamizi

    Jul 15, 2017 08:29

    Rais Michel Aoun wa Lebanon ametoa wito kwa mataifa ya ulimwengu kuchukua hatua ambazo zinataulazimisha utawala haramu wa Israel ukomeshe hatua zake za kivamizi.

  • Wanajeshi wa Israel wamewaua Wapalestina watatu Quds Tukufu

    Wanajeshi wa Israel wamewaua Wapalestina watatu Quds Tukufu

    Jul 14, 2017 03:10

    Wapalestina watatu wamepigwa risasi na kuuawa baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.

  • Wazayuni wazidi kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu

    Wazayuni wazidi kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu

    Jul 06, 2017 03:12

    Katika mwezi uliopita wa Juni, utawala wa Kizayuni wa Israel uliyavunjia heshima mara 80 matukufu ya Kiislamu huko Palestina hususan Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu katika mji wa Quds na Haram na Nabii Ibrahim AS katika mji wa al Khalil

  • Wazayuni waendelea kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Wazayuni waendelea kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Jun 14, 2017 23:48

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni jana Jumatano waliuvamia tena msikiti wa al Aqswa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

  • Wazayuni waendelea kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Wazayuni waendelea kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Jun 14, 2017 21:59

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni jana Jumatano waliuvamia tena msikiti wa al Aqswa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

  • Polisi ya Israel yafunga Msikiti wa al-Aqsa, wazuia ibada za Waislamu

    Polisi ya Israel yafunga Msikiti wa al-Aqsa, wazuia ibada za Waislamu

    Jun 11, 2017 09:36

    Maafisa wa polisi ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefunga na kuuzingira Msikiti wa al-Aqsa sambamba na kuwazuia waumini wa Kiislamu kuingia na kutoka kwenye msikiti huo, ambacho ni Kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Wazayuni wauvunjia heshima Msikiti wa al-Aqswa kwa siku ya pili mtawalia

    Wazayuni wauvunjia heshima Msikiti wa al-Aqswa kwa siku ya pili mtawalia

    Jun 01, 2017 02:54

    Walowezi wa Kizayuni wameuvunjia heshima tena msikiti wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu kwa siku ya pili mtawalia baada ya kufanya uvamizi katika eneo la ndani la msikiti huo mtakatifu huko Baytul Muqaddas.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS