Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • Walowezi wa Kizayuni wafanya uvamizi tena katika msikiti wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni wafanya uvamizi tena katika msikiti wa al-Aqswa

    Jul 21, 2016 23:48

    Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wamefanya uvamizi dhidi ya msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa huko Quds Tukufu Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Walowezi wa Kizayuni wauvamia tena Msikiti wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni wauvamia tena Msikiti wa al-Aqswa

    Jul 18, 2016 23:11

    Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wameuvamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa huko Quds Tukufu Palestina.

  • Wazayuni waendeleza jinai Siku ya Kimataifa ya Quds

    Wazayuni waendeleza jinai Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jul 01, 2016 10:48

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewauwa shahidi Wapalestina wawili kwa kuwapiga risasi.

  • Wazayuni wamevamia zaidi ya mara 100 katika mwezi mmoja maeneo matakatifu ya Palestina

    Wazayuni wamevamia zaidi ya mara 100 katika mwezi mmoja maeneo matakatifu ya Palestina

    Jun 05, 2016 10:56

    Waziri wa masuala ya kidini na waqfu wa Palestina amesema, Wazayuni wameuvamia mara chungu nzima msikiti mtukufu wa al-Aqsa na Haram ya Nabii Ibrahim (as) huko Alkhalil katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.

  • Kiongozi wa kidini wa Kizayuni atishia Waislamu kupoteza kikamilifu fursa ya kutumia Masjidul-Aqsa

    Kiongozi wa kidini wa Kizayuni atishia Waislamu kupoteza kikamilifu fursa ya kutumia Masjidul-Aqsa

    Jun 02, 2016 03:19

    Kiongozi wa kidini wa Wazayuni Rabi Yehuda Glick amesema kukataa kugawanywa msikiti wa Al- Aqsa baina ya Waislamu na Mayahudi kutakuwa sawa na kufutwa kikamilifu haki ya Waislamu ya kutumia msikiti huo.

  • Watoto zaidi ya elfu mbili Kipalestina wauliwa shahidi na Wazayuni

    Watoto zaidi ya elfu mbili Kipalestina wauliwa shahidi na Wazayuni

    Jun 01, 2016 10:58

    Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewauwa shahidi kwa kuwapiga risasi watoto wa Kipalestina zaidi ya elfu mbili tangu kuanza Intifadha ya Masjidul Aqsa mwaka 2000.

  • Mkuu wa Kamati Kuu ya  Kiislamu ya Palestina atahadharisha kuhusiana na uvamizi wa Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Palestina atahadharisha kuhusiana na uvamizi wa Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    May 11, 2016 23:39

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Palestina ametahadharisha kuhusiana na kukithiri hujuma na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.

  • Wapalestina walaani Israel kumkamata Imam wa Masjid Al Aqsa

    Wapalestina walaani Israel kumkamata Imam wa Masjid Al Aqsa

    Apr 09, 2016 22:35

    Wapalestina wameendelea kulaani vikali hatua ya wanajeshi wa Israel kumkamata Imam na Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • Wazayuni waendelea kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa

    Wazayuni waendelea kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa

    Feb 17, 2016 05:08

    Walowezi wa Kizayuni na askari wa utawala ghasibu wa Israel wameendelea kuushambulia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS