-
Mama: Askari wa Marekani waliomuua mwanangu ni wanyama
Mar 23, 2023 12:21Mama mzazi wa Ivor Otieno, kijana Mkenya aliyeuawa hivi karibuni na polisi ya Marekani akiwa korokoroni amewataja askari polisi waliofanya ukatili huo kuwa wanyama.
-
Familia yalaani hukumu 'laini' dhidi ya polisi mzungu aliyeua kijana mweusi US
Feb 20, 2022 08:01Wanasheria na familia ya kijana mwenye asili ya Afrika aliyeuawa na polisi mzungu nchini Marekani mwaka jana wamelaani vikali kitendo cha kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili pekee askari huyo muuaji katika mji Minneapolis.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu Marekani waandamana baada ya kuachiwa polisi aliyeua kijana mweusi
Feb 05, 2022 14:16Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wamefanya maandamano nchini Marekani kupinga hatua ya kuachiwa huru afisa wa polisi aliyemuua kijana mweusi.
-
Amnesty International: Wazungu na mbwa waliokolewa kabla ya watu weusi huko Palma, Msumbiji
May 14, 2021 11:47Kundi la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake kwamba, wakandarasi wazungu walisafirishwa kwa ndege na kupelekwa maeneo yenye usalama kabla ya wenzao weusi baada ya shambulio la magaidi mwezi Machi mwaka huu katika mji Palma nchini Msumbiji.
-
Wakili wa Floyd awakosoa Wamarekani kwa kupuuza uhalifu na ubaguzi dhidi ya watu weusi
Mar 31, 2021 03:02Wakili wa familia ya George Floyd amewakosoa Wamarekani kwa kupuuza jinai na uhalifu unaofanywa kwa makusudi dhidi ya jamii ya watu weusi nchini humo.
-
Mwafrika aokoa maisha ya mzungu mwenye chuki kali za kibaguzi nchini Uingereza + Video
Jun 15, 2020 07:41Kitendo cha uungwa na kiwango cha juu cha ubinadamu kilichooneshwa na raia mmoja wa Uingereza mwenye asili ya Afrika cha kuokoa maisha ya mzungu mwenye chuki kali za kibaguzi wakati wa ugomvi huko mjini London Uingereza, kimevigusa sana vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
-
Ripoti ya kushtusha: Wengi waliofariki dunia kwa Corona nchini Uingereza, ni Waingereza Weusi
May 07, 2020 17:09Matokeo ya uchunguzi mpya uliofanywa nchini Uingereza yanaonyesha kwamba Waingereza weusi ndio wanaongoza kwa kufariki dunia kutokana na virusi vya Corona kati ya watu wa jamii nyingine.
-
Raia weusi 3 wa Marekani waachiwa huru baada ya kufungwa jela bila ya hatia kwa miaka 36
Nov 27, 2019 08:11Wamarekani 3 weusi wameachiwa huru baada ya kufungwa jela kwa kipindi cha miaka 36 kwa tuhuma za kufanya mauaji.
-
Wamarekani weusi waandamana kupinga kitendo cha kufutiwa mashtaka polisi mzungu aliyeua kijana mweusi
Mar 23, 2019 13:53Wanasheria na familia ya kijana mwenye asili ya Kiafrika aliyeuawa na polisi mzungu nchini Marekani wamefanya maandamano mbele ya mahakama wakilaani kitendo cha kufutiwa mashtaka polisi huyo muuaji katika jimbo la Pennsylvania.
-
Polisi wa Marekani waliomuua kwa risasi 20 kijana mweusi wafutiwa mashitaka
Mar 03, 2019 07:53Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa ukiukaji wa haki za kiraia za msingi za Wamarekani wenye asili ya Afrika, Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali katika wilaya ya Sacramento jimboni California nchini Marekani imewaondolea mashitaka maafisa wa polisi waliommiminia risasi na kumuua kijana mweusi ambaye hakuwa amejizatiti kwa silaha yoyote mwaka jana.