Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • Hizbullah: Inashangaza kuona waungaji mkono wa ugaidi wakiuhusisha muqawama na ugaidi

    Hizbullah: Inashangaza kuona waungaji mkono wa ugaidi wakiuhusisha muqawama na ugaidi

    May 29, 2017 13:52

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika eneo la Beqaa amesema kuwa, anashangazwa na Marekani kuutuhumu muqawama na ugaidi katika hali ambayo ni nchi hiyo ndiyo inayouunga mkono ugaidi wa utawala haramu wa Israel.

  • Khalid Mash'al asisitizia kuendelezwa mapambano ya Wapalestina dhidi ya Israel

    Khalid Mash'al asisitizia kuendelezwa mapambano ya Wapalestina dhidi ya Israel

    May 04, 2017 02:21

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, mapambano na muqawama wa wananchi wa Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel utaendelea madhali kuna uvamizi na kunaendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina.

  • Wapalestina waliunga mkono jeshi na serikali ya Syria

    Wapalestina waliunga mkono jeshi na serikali ya Syria

    Mar 18, 2017 15:50

    Mwakilishi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina hapa mjini Tehran amesema kuwa, makundi ya muqawama ya Palestina yanaliunga mkono jeshi na serikali ya Syria katika kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Kizayuni na pia kukomboa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel.

  • Brigedia Dahqan: Misaada ya Iran, sababu ya kusindwa maadui

    Brigedia Dahqan: Misaada ya Iran, sababu ya kusindwa maadui

    Mar 08, 2017 07:56

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran ya Kiislamui daima inayaunga mkono na kuyasaidia makundi ya mapambano na kwamba uungaji mkono huo umewalazimisha maadui kurudi nyuma na kushindwa.

  • Dr. Al-Zahar: Lengo la mkutano wa Intifadha wa mjini Tehran ni kuunga mkono muqawama

    Dr. Al-Zahar: Lengo la mkutano wa Intifadha wa mjini Tehran ni kuunga mkono muqawama

    Feb 21, 2017 04:05

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, lengo la Mkutano wa Intifadha ya Palestina unaoanza leo hapa mjini Tehran ni kuunga mkono muqawama na mapambano na kwamba, nchi nyingine za Kiislamu nazo zinapaswa kuchukua hatua katika njia hiyo.

  • Kusimama kidete wananchi wa Yemen, sababu ya uadui wa Saudia

    Kusimama kidete wananchi wa Yemen, sababu ya uadui wa Saudia

    Feb 11, 2017 01:21

    Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unamshambulia mtu yoyote ambaye anaipinga Israel na kukabiliana na siasa za Marekani.

  • Mapambano dhidi ya ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni, ajenda kuu ya taarifa ya kiwizara ya serikali ya Lebanon

    Mapambano dhidi ya ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni, ajenda kuu ya taarifa ya kiwizara ya serikali ya Lebanon

    Dec 26, 2016 04:30

    Taarifa ya utendaji ya serikali ya Lebanon imepasishwa ikitilia maanani takwa la siku zote la watu wa Lebanon la kuendesha mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • Zarif: Iran inafanya juhudi za kuimarisha muqawama wa taifa la Palestina

    Zarif: Iran inafanya juhudi za kuimarisha muqawama wa taifa la Palestina

    Dec 13, 2016 02:50

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili daima limekuwa likifanya juhudi za kuimarisha safu za muqawama, mapambano na mshikamano wa taifa la Palestina.

  • Hizbullah ya Lebanon yasifu ushindi mkubwa wa muqawama huko Halab, Syria

    Hizbullah ya Lebanon yasifu ushindi mkubwa wa muqawama huko Halab, Syria

    Dec 11, 2016 14:49

    Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesifu na kupongeza ushindi muhimu wa kimuqawama katika mji wa Halab (Aleppo) huko Syria.

  • Upinzani wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa muqawama

    Upinzani wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa muqawama

    Sep 04, 2016 03:46

    Maamuzi ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina dhidi ya muqawama wa wananchi wa Palestina yangali yanaendelea; na katika fremu hiyo mamlaka hiyo inatekeleza saisa za kuwapokonya silaha raia wa Palestina wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS