Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • YouTube 'yajigonga' katika dai la uhuru wa maoni kwa kuifunga akaunti ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran

    YouTube 'yajigonga' katika dai la uhuru wa maoni kwa kuifunga akaunti ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran

    May 29, 2024 00:10

    Mtandao wa kijamii wa YouTube umeifuta akaunti rasmi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa kisingizio cha kukiuka kanuni zake kufuatia hatua ya akaunti hiyo kuweka mkanda wa video wa lugha ya Kiingereza wenye anuani "Resistance, the only option for Palestine", yaani Muqawama ndilo chaguo pekee kwa Palestina.

  • Makamanda wa IRGC na wakuu wa kambi ya muqawama wakutana Tehran

    Makamanda wa IRGC na wakuu wa kambi ya muqawama wakutana Tehran

    May 24, 2024 03:56

    Makamanda waandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) wamekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa makundi ya muqawama waliokuja hapa nchini Iran kushiriki mazishi ya viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu akiwemo Rais Ebrahim Raisi waliokufa shahidi katika ajali ya helikopta Jumapili iliyopita.

  • Ali Bagheri Kani: Muqawama umewadhalilisha Wazayuni katika uga wa diplomasia

    Ali Bagheri Kani: Muqawama umewadhalilisha Wazayuni katika uga wa diplomasia

    May 23, 2024 23:08

    Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Iran amesema kuwa, muqawama umewadhalilisha Wazayuni katika uga wa kidipolasia.

  • Kaimu Rais: Iran itaendelea kuunga mkono kambi ya muqawama

    Kaimu Rais: Iran itaendelea kuunga mkono kambi ya muqawama

    May 23, 2024 07:32

    Kaimu Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuunga mkono kikamilifu kambi ya muqawama.

  • Muqawama wa Iraq washambulia maeneo ya kistratajia ya Israel, Eilat

    Muqawama wa Iraq washambulia maeneo ya kistratajia ya Israel, Eilat

    May 10, 2024 03:54

    Harakati ya Kiislamu ya Iraq imetangaza kuwa imeshambulia maeneo ya kistratajia ya Israel katika mji wa Eilat, ulioko kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Magharibi iliiomba Iran 'isiipige sana Israel', ipunguze ukali wa operesheni ya Ahadi ya  Kweli

    Magharibi iliiomba Iran 'isiipige sana Israel', ipunguze ukali wa operesheni ya Ahadi ya Kweli

    May 09, 2024 00:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema nchi za Magharibi ziliiomba Jamhuri ya Kiislamu ijizuie na ipunguze ukali wa operesheni yake ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kabla ya kushambulia vituo vya utawala huo mwezi uliopita kujibu mapigo kwa shambulio lake la kigaidi ulilofanya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria.

  • Spika Qalibaf: Ulimwengu wote wa Kiislamu una wajibu wa kuunga mkono Muqawama wa taifa la Palestina

    Spika Qalibaf: Ulimwengu wote wa Kiislamu una wajibu wa kuunga mkono Muqawama wa taifa la Palestina

    Mar 29, 2024 04:31

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amepongeza istikama na kusimama imara kusio na mfano kwa Muqawama na wananchi wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na akasema, Ulimwengu mzima wa Kiislamu una wajibu wa kuliunga mkono taifa la Palestina katika vita visivyo na mlingano na utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.

  • Kiongozi Mkuu: Ghaza ndiyo mshindi mkuu kwenye medani ya vita na utawala wa Israel mwangamizaji wa kizazi

    Kiongozi Mkuu: Ghaza ndiyo mshindi mkuu kwenye medani ya vita na utawala wa Israel mwangamizaji wa kizazi

    Mar 29, 2024 00:01

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema vikosi vya Muqawama na watu wa Ghaza ndio washindi kwenye medani ya vita na utawala wa Israel mwangamizaji wa kizazi na akasisitiza kwa kusema: kilele cha kuheshimika na kusimama imara watu wa Ghaza na Palestina na kushindwa utawala wa Kizayuni katika vita hivyo vya miezi sita ni tukio na jambo lenye rehma za Mwenyezi Mungu.

  • Muqawama wa Iraq washambulia uwanja wa ndege Tel Aviv

    Muqawama wa Iraq washambulia uwanja wa ndege Tel Aviv

    Mar 20, 2024 23:23

    Kwa mara nyingine tena wanamuqawama wa Iraq wameshambulia Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion katika mji mkuu wa utawala haramu wa Israel, Tel Aviv.

  • Muqawama walitia hasara kubwa jeshi la Israel Gaza na Lebanon

    Muqawama walitia hasara kubwa jeshi la Israel Gaza na Lebanon

    Mar 11, 2024 08:34

    Makundi ya muqawama yamelisababishia hasara kubwa jeshi la Israel katika Ukanda wa Gaza, wakati huu ambapo utawala huo wa Kizayuni unandeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wasio na ulinzi wa eneo hilo lililo chini ya mzingiro.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS