Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Myanmar

  • Taasisi 35 za Kimataifa zataka Umoja wa Mataifa uwasiadie Waislamu wa Myanmar

    Taasisi 35 za Kimataifa zataka Umoja wa Mataifa uwasiadie Waislamu wa Myanmar

    Nov 21, 2017 04:19

    Taasisi 35 za kimataifa zimeuandikia barua Umoja wa Mataifa zikitaka kuitishwe kikao cha dharura kujadili hali mbaya ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ambao wanakabiliwa na mauaji ya umati.

  • Takwa la China kwa Bangladesh na Myanmar kuhusiana na mgogoro wa Waislamu Warohingya

    Takwa la China kwa Bangladesh na Myanmar kuhusiana na mgogoro wa Waislamu Warohingya

    Nov 20, 2017 23:08

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China amezitaka Bangladesh na Myanmar kuutatua mgogoro wa Waislamu wa Rohingya kupitia njia ya mazungumzo ya pande mbili badala ya kusubiri utatuzi wa kimataifa.

  • HRW: Jeshi na polisi wa Myanmar wamebaka na kunajisi wanawake wengi Waislamu

    HRW: Jeshi na polisi wa Myanmar wamebaka na kunajisi wanawake wengi Waislamu

    Nov 16, 2017 12:31

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, wanajeshi na polisi wa Myanmar wamefanya uhalifu mkubwa wa kunajisi na kubaka wasichana na wanawake wa Rohingya ikiwa ni sehemu ya maangamizi ya kizazi dhidi ya Waislamu nchini humo.

  • Bangladesh yaitaka dunia iishinikize Myanmar iacha kuwakandamiza Waislamu

    Bangladesh yaitaka dunia iishinikize Myanmar iacha kuwakandamiza Waislamu

    Nov 05, 2017 23:15

    Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza Myanmar isitishe ukandamizaji wa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.

  • Safari iliyochelewa kufanywa ya Aung San Suu Kyi mkoani Rakhine nchini Myanmar

    Safari iliyochelewa kufanywa ya Aung San Suu Kyi mkoani Rakhine nchini Myanmar

    Nov 05, 2017 09:17

    Kufuatia mashinikizo ya kieneo na kimataifa kwa serikali ya Myanmar kutokana na mauaji yake ya halaiki dhidi ya Waislamu wa Rohingya mkoani Rakhine, hatimaye Waziri wa Mambo ya Nje na Mshauri Mkuu wa serikali ya nchi hiyo amezuru eneo hilo.

  • Myanmar yakosoa mpango wa Seneti ya US kuiwekea vikwazo vya kijeshi

    Myanmar yakosoa mpango wa Seneti ya US kuiwekea vikwazo vya kijeshi

    Nov 03, 2017 23:10

    Serikali ya Myanmar imeonya kuwa, kutakuweko na taathira hasi iwapo Bunge la Seneti la Marekani litapasisha muswada wa kuiwekea nchi hiyo vikwazo vya kijeshi.

  • Waislamu 7 wa Rohingya waghariki katika ajali nyingine ya boti

    Waislamu 7 wa Rohingya waghariki katika ajali nyingine ya boti

    Oct 31, 2017 09:55

    Waislamu saba wa jamii ya Rohingya wamepoteza maisha katika ajali mbili tofauti za boti karibu na pwani ya Bangladesh wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na serikali ya Myanmar.

  • Bangladesh kufunga uzazi wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Myanmar

    Bangladesh kufunga uzazi wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Myanmar

    Oct 28, 2017 12:07

    Maafisa wa afya nchini Bangladesh wamesema wameanzisha mpango maalumu wa kupunguza idadi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya ambao wamekimbia mauaji ya kimbari huko Myanmar na kujazana katika kambi za wakimbizi nchini Bangladesh.

  • Makubaliano ya Bangladesh na Myanmar ya kushughulikia hali ya Waislamu wa Myanmar

    Makubaliano ya Bangladesh na Myanmar ya kushughulikia hali ya Waislamu wa Myanmar

    Oct 25, 2017 11:22

    Jenerali Kyaw Swe, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Myanmar na mwenzake wa Bangladesh Asaduzzaman Khan, wamesaini hati mbili za maelewano za kustawisha ushirikiano wa mpakani na kuunda jopokazi la pamoja kwa lengo la kuchunguza hali ya Waislamu wakimbizi wa Rohingya.

  • Waislamu Warohingya Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari

    Waislamu Warohingya Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari

    Oct 22, 2017 23:21

    Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari kwa lengo la kuwamaliza kabisa katika nchi hiyo ya bara Asia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS