-
Russia: Nato ichague njia ya ama makabiliano au ushirikiano
Mar 25, 2021 06:57Viongozi wa ngazi ya juu wa Russia wamejibu matamshi ya Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) kuhusu eti siasa za hujuma za Moscow na kusema Nato yenyewe ndio kitovi kikuu cha vitisho duniani. Wameongeza kuwa Brussels itatue matatizo yanayozikabili nchi wanachama wa muungano wa NATO na iweke wazi msimamo wake kuhusu Moscow.
-
Ongezeko la wanajeshi wa NATO nchini Iraq, juhudi za kujaza nafasi ya Marekani
Feb 20, 2021 23:09Majeshi ya nchi za Magharibi yalipelekwa kwa wingi nchini Iraq baada ya Marekani kuivamia ardhi ya nchi hiyo mwaka 2003 na bado yanaendelea kuwepo nchini humo.
-
Silaha za NATO zakamatwa katika makao ya Daesh Homs, nchini Syria
Feb 18, 2021 04:46Jeshi la Syria limegundua ghala la silaha ziliundwa na Shirila la Kujihami la Nchi za Magharibi (NATO) katika mji wa Homs baada ya kuua magaidi kadhaa wa kundi la Daesh katika eneo hilo.
-
Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi
Mar 01, 2020 07:09Uingiliaji wa wazi wa askari wa Uturuki katika mkoa wa Idlib nchini Syria, katika kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayoendesha harakati zake mkoani humo, umepata uungaji mkono wa Wamagharibi.
-
Ugiriki yazuia kutolewa taarifa ya uungaji mkono wa NATO kwa Uturuki
Feb 29, 2020 23:09Serikali ya Ugiriki imetumia haki yake ya turufu kuzuia kutolewa taarifa ya uungaji mkono wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) kwa Uturuki.
-
Mwamko wa walimwengu na kuchanganyikiwa NATO na Marekani kuhusu Luteni Soleimani
Jan 09, 2020 21:02Radiamali na hisia zilizooneshwa na baadh iya viongozi wa nchi za Magharibi baada ya Marekani kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH kwa mara nyingine zimeonesha undumilakuwili wa viongozi wa nchi za Magharibi kuhusu madai yao ya kupambana na magaidi.
-
Katibu Mkuu wa NATO akiri kushtadi mzozo ndani ya shirika hilo la kijeshi
Dec 18, 2019 09:22Nchi wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO), zimershiriki katika kikao cha maadhimisho ya mwaka wa 70 tangu kuasisiwa taasisi hiyo ya kijeshi katika hali ambayo tofauti na changamoto kubwa ambazo hazijawahi kushuhudiwa huko nyuma, zinauweka mustakbali wake katika hali isiyojulikana.
-
Mpango wa Pentagon wa kuongeza idadi ya askari wa Marekani barani Ulaya kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa
Dec 11, 2019 04:41Donald Trump, rais machachari na mwenye makeke wa Marekani amewahi kusikika mara kadhaa akiwalaumu na kuwakosoa waitifaki wa Washington wa barani Ulaya na hata kutishia kwamba, nchi yake haitakuwa tayari kuendelea kugharimika kwa ajili ya usalama wa nchi za bara hilo; hata hivyo mpango uliotangazwa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon wa kuongeza idadi ya askari wa nchi hiyo barani Ulaya umeyatoa maanani madai hayo ya Trump.
-
Onyo kali la Russia juu ya kuharibika uhusiano wa nchi hiyo na Shirika la Kijeshi la NATO
Dec 09, 2019 23:23Katika miaka ya hivi karibuni uhusiano wa Russia na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) hususan baada ya kuzuka mgogoro wa Ukraine mwaka 2014, umekuwa ni wa mzozo ambapo kiwango cha migogoro na makabiliano baina ya pande hizo mbili kimeendelea kukua mwaka baada ya mwaka.
-
NATO na changamoto zinazoikabili wakati inaadhimisha mwaka wa 70 wa kuasisiwa kwake
Dec 04, 2019 04:42Nchi wanachama wa shirika la kijeshi la NATO zinakutana mjini London, Uingereza katika mkutano unaoadhimisha mwaka wa 70 tangu kuasisiwa shirika hilo la kijeshi, huku tofauti kubwa na changamoto za mivutano zilizopo ambazo hazijawahi kushuhudiwa, zikiuweka mashakani mustakabali wake.