-
Iran yalaani hatua ya Marekani ya kuiba ndege ya Rais wa Venezuela
Sep 06, 2024 03:02Msemaji Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hatua ya serikali ya Marekani kukamata ndege inayotumiwa na rais wa Venezuela.
-
Ndege ya abiria iliyoundwa Iran yafanyiwa majaribio kwa mafanikio + Video
May 31, 2023 03:47Ndege ya abiria na mizigo ya iliyopewa jina la Simorgh imeundwa kikamilifu na wataalamu wa Shirika la Viwanda vya Anga la Wizara ya Ulinzi ya Iran na imefanyiwa majaribio ya kuruka kwa mafanikio makubwa.
-
Kupuuza Misri takwa la Marekani dhidi ya Russia; ishara ya kufifia ushawishi wa Marekani
May 14, 2023 13:58Gazeti la Wall Street Journal limetangaza kuwa, Misri imepuuzilia mbali takwa la Marekani kwa nchi hiyo la kutoruhusu ndege za kijeshi za Russia kupita katika anga yake.
-
Marubani wa Kenya Airways wasitisha mgomo, waanza kazi
Nov 09, 2022 11:04Marubani wa Kampuni ya ndege ya Kenya, Kenya Airways mapema leo wamerejea kazini baada ya muungano wao (Kalpa), kusitisha mgomo uliovuruga safari za ndege kwa siku kadhaa.
-
Iran kuunda ndege ya abiria ya viti 50 karibuni
Aug 25, 2022 03:41Mkuu wa Shirika la Uchukuzi wa Anga la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeandaa mikakati ya kuzalisha ndege yake ya abiria karibuni hivi.
-
Ndege maalumu ya shirika la ujasusi la Israel, Mossad yatua Riyadh, Saudi Arabia
Jul 12, 2022 03:20Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel vimeripoti kuwa, ndege maalumu ya shirika la ujasusi la utawala huo Mossad imetua katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.
-
Indonesia yathibitisha kuanguka baharini ndege iliyokuwa imebeba abiria 62
Jan 10, 2021 08:18Wizara ya Uchukuzi ya Indonesia imethibitisha kuwa, ndege ya abiria ya nchi hiyo ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Jakarta, imeanguka baharini ikiwa na abiria 62 wakiwemo watoto 10.
-
Tanzania yazuia safari za Kenya Airways nchini humo
Aug 01, 2020 04:03Tanzania imesimamisha shirika la ndege la Kenya (KQ) kufanya safari za kwenda Tanzania kuanzia leo tarehe Mosi Agosti, siku moja baada ya Kenya kutangaza kuwa itafungua anga zake kwa usafiri wa kimataifa isipokuwa kutoka baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania.
-
Jeshi la Iran lapokea ndege 8 za kijeshi zilizofanyiwa ukarabati kamili nchini
Feb 20, 2020 12:29Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepokea ndege 8 za kijeshi ambazo zimefanyiwa ukarabati kamili yaani overhaul ndani ya nchi.
-
Rais Rouhani: Jopo la uchunguzi wa ajali ya ndege ya Ukraine libuniwe
Jan 14, 2020 12:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuundwa jopo maalumu la mahakama la kuchunguza ajali ya ndege ya Ukraine iliyoua watu 176 siku chache zilizopita hapa jijini Tehran, sanjari na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wa ajali hiyo.