-
Rais Rouhani: Jopo la uchunguzi wa ajali ya ndege ya Ukraine libuniwe
Jan 14, 2020 12:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuundwa jopo maalumu la mahakama la kuchunguza ajali ya ndege ya Ukraine iliyoua watu 176 siku chache zilizopita hapa jijini Tehran, sanjari na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wa ajali hiyo.
-
Ndege ya Tanzania iliyokuwa imezuiwa Afrika Kusini yaruhusiwa kurudi nyumbani
Sep 04, 2019 10:12Ndege ya shirika la ATCL la nchini Tanzania aina ya Airbus A220-300 iliyokuwa imezuiliwa nchini Afrika Kusini, imeruhusiwa kurudi nyumbani na Mahakama Kuu ya Gauteng ya mjini Johannesburg.
-
Wananchi wa Sudan walizuia ndege ya Saudia kupaa katika uwanja wa ndege wa Khartoum
May 30, 2019 04:25Wananchi wenye hasira kali walizuia ndege ya Saudi Arabia kupaa katika uwanja wa ndege wa Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Ndege za Russia zilizobeba shehena ya misaada zatua Venezuela zikiwa na maafisa wa kijeshi
Mar 25, 2019 07:50Ndege mbili za Russia zilizobeba tani elfu 35 za misaada zimetua mjini Caracas, mji mkuu wa Venezuela.
-
Iran yapiga marufuku ndege za Boeing 737 Max kuruka katika anga yake
Mar 15, 2019 15:43Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepiga marufuku ndege ya Marekani aina ya Boeing 737 Max kutumia anga yake kufuatia kuanguka ndege mpya ya aina hiyo ya Shirika la Ndege la Ethiopia hivi karibuni.
-
Nchi kadhaa zapiga marufuku Boeing 737 Max baada ya ajali ya ndege ya Ethiopia
Mar 12, 2019 16:21Nchi kadhaa duniani zimepiga marufuku ndege ya Kimarekani aina ya Boeing 737 Max kufuatia kuanguka ndege mpya ya aina hiyo ya Shirika la Ndege la Ethiopia hivi karibuni.
-
Kenya yaomboleza ajali ya ndege ndogo iliyoua watu 10
Jun 07, 2018 15:35Rais Uhuru Kenyatta analiongoza taifa la Kenya katika kuomboleza vifo vya watu 10 waliopoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea katika eneo la milima ya Aberdares mjini Kinangop kaunti ya Nyandarua, kaskazini mwa mji mkuu Nairobi.
-
Rais wa Afrika Kusini atoa mkono wa pole kufuatia ajali ya ndege ya Iran
Feb 23, 2018 07:49Rais mpya wa Afrika Kusini ametoa mkono wa rambirambi kufuatia kuanguka ndege ya abiria Jumapili asubuhi hapa Iran na kuua watu wote 66 waliokuwemo kwenye ndege hiyo.
-
Watu wote 66 wafariki dunia katika ajali ya ndege katikati mwa Iran
Feb 18, 2018 08:03Watu 66 wamefariki dunia katikati mwa Iran baada ya ndege ya abiria kuanguka asubuhi ya leo.
-
Miili ya watu 11 waliofariki dunia katika ajali ya ndege Tanzania yapatikana
Nov 16, 2017 16:05Miili ya abiria 10 na rubani mmoja waliopoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea jana nchini Tanzania imepatikana.