-
8 waaga dunia na kujeruhiwa baada ya ndege ya mizigo kuanguka Kodivaa
Oct 15, 2017 07:54Raia wanne wa Moldova wamepoteza maisha huku wengine wanne wakijeruhiwa baada ya ndege ya mizigo iliyokodishwa na jeshi la Ufaransa kuanguka baharini, karibu na uwanja wa kimataifa wa ndege wa mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.
-
Vikosi vya Yemen vyatungua 'drone' ya Marekani
Oct 01, 2017 15:17Vikosi vya Yemen vikishirikiana na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah vimefanikiwa kutungua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa inapita katika anga ya mji mkuu Sana'a.
-
Qatar: Tunaishitaki Saudia kwa kutishia kushambulia ndege zetu za abiria
Aug 21, 2017 08:23Serikali ya Qatar imetangaza kuwa imekusudia kuishitaki Saudi Arabia katika Umoja wa Mataifa kutokana na nchi hiyo kutishia kuzishambulia ndege zake za abiria.
-
Jeshi la Myanmar lapata miili na mabaki ya ndege yake iliyoanguka
Jun 08, 2017 06:49Jeshi la Myanmar limetangaza kuwa limepata mabaki ya ndege yake iliyotoweka jana Jumatano ikiwa na watu 122 katika bahari ya Andaman.
-
Iran kuanza kuunda ndege kubwa za abiria
Apr 15, 2017 14:04Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema, mafanikio ya nchi hii katika kuunda ndege ya kivita ya Qaher 313 na kutoa mafunzo ya Kauthar 88 ni utangulizi wa Iran kuunda ndege kubwa za abiria na mizigo.
-
Rouhani: Iran haitachukua idhini kwa yeyote kuunda makombora na ndege
Apr 15, 2017 14:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imekuwa muathirika wa hujuma ya kiuoga na kwa msingi huo haitachukua idhini kutoka kwa yeyote katika kuimarisha vikosi vyake vya ulinzi hasa uundaji wa makombora na ndege za kivita.
-
Ushahidi waonesha: Ndege ya Misri iliangushwa na magaidi
Dec 16, 2016 03:49Kuna uwezekano mkubwa kwamba, ndege ya Misri iliyoanguka mapema mwa mwaka huu na kuua makumi ya watu ililipuliwa na magaidi.
-
Ndege yaanguka ikiwa na timu ya soka ya Brazil, 81 wahofiwa kuaga dunia
Nov 29, 2016 07:25Ndege iliyokuwa imebeba watu 81, wakiwemo wachezaji wa timu moja ya mpira ya Brazil, imeanguka nchini Colombia.
-
Cyprus yakubali kumrejesha Misri mtekaji nyara wa ndege ya EgyptAir
Oct 01, 2016 04:22Mahakam moja nchini Cyprus imetoa hukumu ya kurejeshwa Misri raia mmoja wa nchi hiyo aliyeiteka nyara ndege ya shirika la EgyptAir mwanzoni mwa mwaka huu.
-
Uchunguzi kuhusu Marekani kuitungua ndege ya abiria ya Iran
Jul 02, 2016 13:20Kwa munasaba wa kukumbuka jinai ya kivita ya Marekani kuitungua ndege ya abiria ya Iran mnamo Julai 3 mwaka 1988, kumeitishwa kikao cha kujadili mitazamo ya kisheria kuhusu tukio hilo.