-
Duru za habari: Baada ya Lieberman, Waziri wa Uhajiri wa Israel naye pia amejiuzulu
Nov 15, 2018 03:48Vyombo vya habari vimeripoti kuwa waziri mwengine katika serikali ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, amejiuzulu.
-
Netanyahu aunga mkono kunyongwa mateka wa Kipalestina
Nov 06, 2018 11:37Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel ameunga mkono muswada unaopendekeza kunyongwa mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kutisha za utawala huo.
-
Viongozi wa Kikristo mjini Quds wakosoa ubaguzi wa Netanyahu
Nov 06, 2018 04:30Wakuu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Quds tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel wamemuandikia barua Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wakikosoa misimamo yake ya kibaguzi.
-
Netanyahu: Ni kweli Israel imehusika na njama za kuvuruga uhusiano wa Iran na EU
Nov 02, 2018 04:11Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, Tel Aviv imehusika katika wimbi la hivi karibuni la upotoshaji, hadaa na tuhuma za urongo zinazozushwa na baadhi ya nchi za Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Netanyahu akiri kuwa uwepo wa Israel uko hatarini
Aug 12, 2018 23:16Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema uwepo wa utawala huo uko hatarini.
-
Onyo la maafisa wa zamani wa kijasusi wa Marekani kuhusu nyaraka bandia za Netanyahu dhidi ya Iran
Aug 07, 2018 01:45Israel ambayo inahesabiwa kuwa mmoja wa maadui wakubwa wa Iran katika eneo la Mashariki ya Kati daima inafanya njama na kueneza madai ya uongo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hususan katika mradi wake wa amani wa nyuklia lengo lake kuu likiwa ni kutaka kupoteza imani ya jamii ya kimataifa na kuifanya ichukue hatua dhidi ya Iran.
-
Uwezo na mafanikio ya Iran vyamkosesha utulivu Netanyahu
Jul 17, 2018 22:02Suala la Iran limekuwa likizidi kuvuruga akili ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel kiasi kwamba hata katika nyakati za mapumziko kadhia ya Iran inamkosesha utulivu.
-
Mke wa Netanyahu afunguliwa kesi ya ufisadi wa kifedha
Jun 21, 2018 09:24Mke wa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefunguliwa rasmi faili la kesi ya ufisadi wa kifedha.
-
Korea Kaskazini yakerwa na matamshi machafu ya Netanyahu dhidi ya Iran
Jun 11, 2018 23:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini ametoa radiamali kuhusiana na pendekezo la kejeli la Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni kuhusu kuipa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran teknolojia ya kukabiliana na uhaba wa maji na kusema kuwa, Benjamin Netanyahu ni mtenda jinai na muongo mkubwa.
-
Netanyahu: Ni makosa maandamano ya Siku ya Quds kufanyika London na katika miji mingine muhimu duniani
Jun 08, 2018 00:06Wakati Waislamu na watetezi wa haki na uadilifu duniani kote wanajiandaa kushiriki kwenye maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds hii leo, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema anatiwa wasiwasi na kufanyika maandamano hayo katika nchi mbalimbali duniani.