-
Waisraeli waandamana Tel Aviv dhidi ya ufisadi wa Netanyahu
Oct 08, 2017 04:20Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu utawala wa Kizayuni wameandamana huko Tel Aviv wakitaka kushughulikiwa kesi ya ufisadi inayomkabili Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu.
-
Iran yatoa jibu kwa matamshi ya kilaghai ya Netanyahu katika UNGA
Sep 20, 2017 02:58Mshauri wa ofisi ya uwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema matamshi dhidi ya Iran aliyotoa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ni ya kinafiki na ya kilaghai.
-
Ubalozi mdogo wa Israel wafungwa New York, Netanyahu atishiwa kuuawa
Sep 16, 2017 03:47Ubalozi mdogo wa utawala haramu wa Israel mjini New York, Marekani umefungwa baada ya kupokea vitisho.
-
Wazayuni waandamana tena kulalamikia ufisadi wa Netanyahu
Aug 27, 2017 03:24Kwa mara nyingine tena maelfu ya Wazayuni wamefanya maandamano katika mji wa Tel Aviv huko Israel kushinikiza kuuzuliwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wakimtuhumu kwa kujihusisha na vitendo vya ufisadi.
-
Maelfu ya Wazayuni wasisitiza kuuzuliwa Benjamin Netanyahu
Aug 13, 2017 09:50Maelfu ya Wazayuni wamefanya maandamano jirani na mji wa Tel Aviv Israel na kutoa wito wa kuuzuliwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wakimtuhumu kwa kujihusisha na vitendo vya ufisadi.
-
Wazayuni waandamana kulalamikia ufisadi wa Netanyahu
Aug 06, 2017 02:29Mamia ya Wazayuni wamefanya maandamano katika mji wa Petah Tikva dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anayeandamwa na tuhuma za ufisadi.
-
Jenerali Mzayuni amuonya Netanyahu kuhusu kuichokoza HAMAS
Jun 18, 2017 03:21Jenerali mmoja Mzayuni amemuonya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu siasa zake mbele ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na kusema huko ni kucheza na moto.
-
Netanyahu atoa wito wa kuvunjwa UNRWA
Jun 11, 2017 22:53Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa wito wa kuvunjwa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA), linalowasaidia mamilioni ya wakimbizi wa Kipalestina.
-
Palestina yataka Arab League iitishe kikao cha dharura kujadili ushawishi wa Israel Afrika
Jun 07, 2017 21:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) iitishe kikao cha dharura kujadili kuenea satua na ushawishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika bara la Afrika.
-
Mfalme wa Morocco akosa kuhudhuria mkutano wa ECOWAS kwa ajili ya Netanyahu
Jun 04, 2017 02:49Mfalme Muhammad wa Sita wa Morocco amekosa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) unaofanyika leo nchini Liberia kwa kuwa unahudhuriwa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.