-
Jenerali Mzayuni amuonya Netanyahu kuhusu kuichokoza HAMAS
Jun 18, 2017 03:21Jenerali mmoja Mzayuni amemuonya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu siasa zake mbele ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na kusema huko ni kucheza na moto.
-
Netanyahu atoa wito wa kuvunjwa UNRWA
Jun 11, 2017 22:53Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa wito wa kuvunjwa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA), linalowasaidia mamilioni ya wakimbizi wa Kipalestina.
-
Palestina yataka Arab League iitishe kikao cha dharura kujadili ushawishi wa Israel Afrika
Jun 07, 2017 21:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) iitishe kikao cha dharura kujadili kuenea satua na ushawishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika bara la Afrika.
-
Mfalme wa Morocco akosa kuhudhuria mkutano wa ECOWAS kwa ajili ya Netanyahu
Jun 04, 2017 02:49Mfalme Muhammad wa Sita wa Morocco amekosa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) unaofanyika leo nchini Liberia kwa kuwa unahudhuriwa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Netanyahu aeleza wasiwasi wake kuhusu uwezo na nguvu ya Iran
Apr 22, 2017 03:26Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo tishio kubwa zaidi kwa Israel.
-
Netanyahu: Tutaendelea kuwapa matibabu magaidi wa Syria
Apr 09, 2017 23:09Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amesema Tel Aviv itaendelea kuwapa matibabu magaidi wanaojeruhiwa katika harakati zao za kujaribu kuingusha serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria.
-
Zarif: Taifa la Iran limewaokoa Mayahudi mara tatu katika kipindi cha historia
Mar 12, 2017 23:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu madai na tuhuma za kihistoria zilizotolewa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya taifa la Iran.
-
Polisi ya Israel kumsaili tena Waziri Mkuu Netanyahu
Mar 06, 2017 04:08Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Kizayuni atahojiwa tena na polisi ya utawala huo kwa mara ya nne katika muda wa mwezi mmoja.
-
Zarif ajibu madai ya Netanyahu, historia ya Israel imejaa ukatili
Feb 18, 2017 01:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu mipango ya kujihami ya makombora ya Iran.
-
Jukwaa la White House; kiriri cha Netanyahu cha kutolea matamshi ya ghiliba
Feb 16, 2017 23:39Safari ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu, nchini Marekani na matamshi aliyotoa katika mazungumzo na rais wa nchi hiyo Donald Trump ni dhihirisho la ghilba na udanganyifu wa kiongozi huyo wa Kizayuni.