Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Netanyahu

  • Spika wa zamani wa Marekani: Netanyahu anapaswa ajiuzulu, amekwamisha amani kwa miaka kadhaa

    Spika wa zamani wa Marekani: Netanyahu anapaswa ajiuzulu, amekwamisha amani kwa miaka kadhaa

    Apr 25, 2024 06:31

    Spika wa zamani wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi amesema, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ni kizuizi cha kupatikana amani Ghaza na anapaswa ajiuzulu.

  • Netanyahu ashikilia msimamo wake wa kupinga kuundwa nchi huru ya Palestina

    Netanyahu ashikilia msimamo wake wa kupinga kuundwa nchi huru ya Palestina

    Apr 05, 2024 23:09

    Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amerudia tena msimamo wake wa kupinga katakata kuundwa nchi huru ya Palestina alipokutana na ujumbe wa Marekani wa wabunge wa chama cha Republican.

  • Axios: Netanyahu atasusiwa na sehemu kubwa ya wawakilishi wa Congress

    Axios: Netanyahu atasusiwa na sehemu kubwa ya wawakilishi wa Congress

    Mar 22, 2024 03:29

    Tovuti ya habari ya Marekani ya Axios imesema kuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, huenda akasusiwa pakubwa na "wabunge wa Congress ikiwa atakubali mwaliko wa kuzungumza mbele ya Bunge la Marekani.

  • Bolivia yataka kufunguliwa mashtaka Netanyahu katika mahakama ya ICJ

    Bolivia yataka kufunguliwa mashtaka Netanyahu katika mahakama ya ICJ

    Mar 03, 2024 01:08

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Bolivia ametoa wito wa kufunguliwa mashtaka Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).

  • Baada ya kutembelea Israel, mbunge wa Kongresi asema: Netanyahu ni kidhabu

    Baada ya kutembelea Israel, mbunge wa Kongresi asema: Netanyahu ni kidhabu

    Feb 29, 2024 03:42

    Mjumbe wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amepinga mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel huko Palestina na kumtaja Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu kuwa ni mhalifu na mwongo.

  • Kupanuka mpasuko ndani ya serikali ya Israel; Netanyahu kwenye ncha ya wembe

    Kupanuka mpasuko ndani ya serikali ya Israel; Netanyahu kwenye ncha ya wembe

    Jan 31, 2024 08:42

    Moja ya sababu za kushindwa Israel kufikia malengo yaliyokusudiwa katika vita vya Gaza ni kupanuka hitilafu katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Rais Erdogan wa Uturuki: Hakuna tofauti kati ya Hitler na Netanyahu

    Rais Erdogan wa Uturuki: Hakuna tofauti kati ya Hitler na Netanyahu

    Dec 28, 2023 03:15

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, "hakuna tofauti" kati ya kile waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu anakifanya katika mashambulizi ya miezi kadhaa sasa huko Gaza na kile kiongozi wa Nazi Adolf Hitler alikifanya miongo kadhaa iliyopita.

  • Mpira wa kusimamisha au kupanua wigo wa vita Ghaza uko katika uwanja wa Netanyahu na jeshi la Kizayuni

    Mpira wa kusimamisha au kupanua wigo wa vita Ghaza uko katika uwanja wa Netanyahu na jeshi la Kizayuni

    Nov 05, 2023 03:22

    Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa inakaribia kufika mwezi mmoja tangu itekelezwe huku jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel likiendelea kuwaua watu wa Ghaza na kujaribu kufidia kushindwa kwao katika vita vya nchi kavu kwa kuwaua raia kwa umati.

  • Abu Ubaida: Netanyahu atakabiliwa na kipigo kikubwa kuliko kile anachohofia huko Gaza

    Abu Ubaida: Netanyahu atakabiliwa na kipigo kikubwa kuliko kile anachohofia huko Gaza

    Oct 29, 2023 22:59

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imemuonya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuhusu mipango yoyote ya kupanua mashambulizi ya nchi kavu ya utawala huo katika Ukanda wa Gaza baada ya zaidi ya wiki tatu za mashambulizi mtawalia ya mabomu na ndege za kivita za utawala huo katika eneo hilo lililo chini ya mzingiro.

  • Uungaji mkono wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa Palestina

    Uungaji mkono wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa Palestina

    Oct 21, 2023 02:46

    Moja ya matunda muhimu yaliyopatikana kutokana na jinai za kinyama na za kutisha zilizofanywa, na zinazoendelea kufanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni kujitokeza msimamo na mwafaka wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu katika kuiunga mkono Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS